Watanzania tuko hivi kwa sababu zifuatazo:-
Tulielezwa tangu uhuru kwamba maadui zetu ni watatu, ujinga - maradhi na umaskini. Hivi inakuwaje miaka zaidi ya 50 watu zaidi ya milioni hamsini...
Naona sasa ziara ya Mh Waziri ni mwendo wa kasi si polepole tena ...chonde chonde maofisa na watumishi wasiokuwa na mazoezi.....BP isije kukutoa roho....!!!
Nimeikuta mahali:
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu...
Moshi. Maoni ya mzee mshauri wa mahakama katika kesi ya mauaji ya kukusudia ya bilionea Erasto Msuya, Herry Msangi jana yalimfanya dada wa marehemu, Antuja Msuya kuangua kilio mahakamani.
Wakitoa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu wengine wawili, akiwamo mpenzi wa mfanyakazi wa ndani wa Aneth Msuya, aliyeuawa kwa kuchinjwa nyumbani kwake.
Aneth, ambaye ni...
Macho yanatambulikana kama ni mlango wa nafsi . katika imani zingine za kienyeji za mwanadamu yanatambulikana kama ukweli , hekima , heshima na nguvu hasa unapomkodolea mtu macho .
Wachawi na...
Tuziombe taasisi za haki za binadamu na asasi za kiraria zisimamie haki ipatikane kwa aliyemua Aqwilina. Damu nzito kuliko maji hatuwezi kukubali katika hili, ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Polisi...
Jamani hali tete tunaokinga pochi tarehe kama hizi huwa za raha maana mapochi hutuna...
Kwa tuotegemea malipo ya mara 12 kwa mwaka tuna tabu sana hasa mambo yakicheleweshwa...vipi mmeshaingiziwa...
Hawa wanaharakati mitandaoni ambao kazi yao ni kupinga kila kitu cha awamu hii kwa mfano Fatuma Karume,Mange Kimambi,Ansbert Ngurumo,Everist Chahali,Zitto Kabwe,Godbless Lema,Peter MsigwaHalima...
Waungwana,
Hii kitu kimeniuma sana sana, kuona jiji wameamua kuua miti hii iliyopandwa kwa gharama kubwa sana na mbwembwe nyingi ikioongozwa na mwenyekiti wa Ulinzi na mkuu wa mkoa Dar es Salaam...
tunaipongeza serikali kwa kufanishisha suala hili la kuhakikisha mkoa wa tabora na wilaya zake wanapata maji ya uhakika Kutoza ziwa victoria
Lakini hawa wahindi pamoja na mradi huu mkubwa wao...
Habari wandugu!
Mwezi uliopita nilikuwa na safari yangu kutoka Johannesburg hadi Nairobi kwa gari kibiashara zaidi! Kutoka South,Botswana,hadi Zambia kila traffic alienisimamisha alipojua ninaenda...
Wengi wenu mkienda kupimwa ukimwi mtapewa majibu positive na kuambiwa kuanza kutumia dawa mpaka mwisho wa maisha yenu, na ndizo zitakazo kuuwa haraka.
Kukusaidia msikubali huu ujinga ulioingia wa...
JIJI la Arusha na Mkoa wa Manyara, hali ya hewa ilishachafuka, wingu zito limefunika kufuatia kuuawa kwa kupigwa risasi, mfanyakazi wa Kampuni ya Tanzanite One, Onesmo William Mushi (pichani)...
Maisha ni magumu sana ila mshahara wa serikali sijui unakuwaga na nini. Yaani ni kiduchu lakini ukitokaga unatuchanganyaga akili sana. Mioyo ya watu husuuzika mno. Stress za mwezi mzima huzimika...
Habari wanaJF, natumaini mwaendelea vema.
Niende moja kwa moja kwenye mada ndugu zangu baba yangu mzazi alikuwa mwalimu sasa wiki moja iliyopita huyu mzee kastaafu kazi. Kiukweli najua atapewa...
Jamani hili ni ajabu lingine tunajua watu au washindi wanatoka mikoa mbalimbali au kusiko na network saa zote au simu kuwa imezima kwa muda kinachonishangaza KWA NN KILA MSHINDI ANAYEPIGIWA HATA...
Nakumbuka enzi hizo bado niko shule ya msingi ndoto yangu kubwa ilikuwa nikifanikiwa kuingia kidato cha kwanza ilikuwa kusoma shule za boarding tena za serikari, sio za serikari tu bali ni shure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.