ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Tunapongeza ujenzi unaoendelea huu wa Bara Bara za kiwango cha Lami huku mtoni kijichi ila wasiwasi wangu ni style ya kuchimbiwa mifereji upande mmoja tu wa Bara Bara nina wasiwasi hili lisije leta majanga huko mbele
Nahisi ujenzi wa mtaro upande mmoja wa barabara utaleta mafuriko katika baadhi ya mitaa kwa vile barabara zinanyanyuliwa sana na Pia itachangia barabara hizi kuharibika mapema kwa kukosa kingo upande mmoja.
Wahusika manispaa liangalieni hili.