Watembea kwa Miguu

Watembea kwa Miguu

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
652
Reaction score
829
Hivi haki yetu watembea kwa miguu haipo tena hapa Dar-es-Salaam, na Tanzania kwa ujumla?

Leo nilitembelea maaeneo ya Kariakoo hasa barabara ya msimbazi, pedestrian walk zote zimegeuka pahala pa kupanga bidhaa za wamachinga. Inabidi abiria wa pishane na magari kwenye barabara ya magari. Hali ni kama hii huko Arusha, nafikiri na miji mingine mingi hapa Tz kwa sasa iko hivi.

This is cheap popularity anayoitafuta kwa wamachinga.

Hivi ni nani wengi wakati wa kupiga kura? WAMACHINGA au SISI Pedestrians?
 
Kiukweli hili suala la kuacha machinga wafanye biashara ovyo ovyo ni udhalimu sana na uchafuz wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom