Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Iceland kidedea kwenye amani duniani, Syria bado hali si shwari Amani na Usalama Hali ya amani duniani imeendelea kudorora kwa mwaka wa nne mfululizo. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti mpya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi mfano serikali ikakusanya vijana wanaozurura dar kama laki tano Halafu wakawapeleka mikoa ya kilimo kama ruvuma rukwa mbeya Wakawafungulia shamba moja kubwa LA mahindi kwa ukubwa wa eka...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
habari wandugu , najaribu kutafuta wimbo wetu ni upi ? ni viwanda au daraja , lile daraja la sarender bora tungejenga kiwanda cha minofu ya samaki pale hata majobless wangefaidika.
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Habari wana JamiiForums Naandika taarifa hii kwa niaba ya tuliokua wafanyakazi Wa kampuni ya Chickenking iliyokua maeneo ya Quality Centre Nyerere road am Pugu road jengo la Manji Bosi wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
1/Uchoyo Unapoona umetoka kimaisha ni vizuri ushee na wenzio uwaelekeze namna na njia ulizotumia kutoboa kimaisha sio unakaa na ujuzi unafaidi maisha mwishowe unakufa na utajiri wako huku unaacha...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Umetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima. Nijuavyo mimi...
27 Reactions
248 Replies
22K Views
Zaidi ya watumishi 700 wa bandari ya Dar es salaam pamoja na Tanga wakutwa na vyeti feki na wamefukuzwa kazi mwezi uliopita. Watu waliofukuzwa ni kuanzia ngazi ya chini hadi Ukurugenzi. Katibu...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
habarini wanajamvi naomba msaada jinsi ya kupata visa ya Australia yaani ni vitu gani natakiwa kuambatanisha wakati wakuomba.mara ya kwanza nimeomba nimeambiwa niseme evidence zinazoonesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na makampuni mengine yote CRDB mtanifilisi mwaka huu
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ilidai ilimkamata mwekezaji wa Kiwanda cha Kiluwa Steel kilichopo Kiluvya wilayani Ubungo jijini Dar es salaam bwana Muhamed Kiluwa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
je wajua kwamba mbwa anapoishi na watu huzoeana , na akifa au akapotea huwa inamuumiza mmiliki kutokana na kuzoeana kwa kipindi hiki cha awamu ya uongozi uliojuu kuna matukio mawili muhimu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikiwa Mwanahisa wa Vodacom ninaomba kutaarifiwa kama gawio la Vodacom mwaka huu limetolewa kwa wanahisa?.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kaugonjwa sijui ni alage au ni nini yaani kabla sijaanza kula chakula kuna mda masikio yanaanza kuwasha ghafla hadi najikuta najikuna na kile kijiko nimeshajaribu kuosha kwa maji na sabuni...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Moshi. Mshtakiwa wa kwanza, Sharifu Mohamed ameiambia mahakama kuwa hajawahi kukutana gerezani na mfanyabiashara Joseph Mwakipesile maarufu Chussa na kupanga mauaji ya Erasto Msuya. Mbali na...
3 Reactions
156 Replies
27K Views
website yako ina nondo za kutosha ila trust me nina hakika haina traffic ya kutosha,sasa cha kufanya team up na mange kimambi arushe vitu kule,akutangazie link ya website yako na wewe pia ufungue...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Moshi. Bunduki ya kivita aina ya Sub Machine Gun (SMG) iliyotumika kumuua mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya, ilinunuliwa kwa Sh4 milioni nchini Kenya, Mahakama imeelezwa. Imeelezwa...
3 Reactions
198 Replies
49K Views
Mengi yamesemwa eti ooh mbona washindi wa BIKO hawaonyeshi mshtuko wanapoambiwa wameshinda mamilioni!!.. Sasa leo ngoma imepata mchezaji baada ya mkazi wa mbagala "kuamua" kuzimia alipoambiwa na...
17 Reactions
63 Replies
10K Views
Kesi hiyo namba 12 ya mwaka 2014, inayosikilizwa na Jaji Salma Maghimbi, kwa wiki tano mfululizo, ameshasikiliza mashahidi saba wa upande wa mashtaka na mashahidi wawili katika kesi ndani ya kesi...
1 Reactions
5 Replies
45K Views
Kesi hiyo itaanza kusikilizwa Jumatatu ijayo na Jaji Salma. Msuya aliuawa kwa kupigwa risasi 22, Agosti 7, mwaka 2013, saa 6:30 mchana katika eneo la Mijohoroni, kando kando ya barabara kuu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya wakili wa utetezi, John Lundu kuugua ghafla na kushindwa kuingia kortini kumfanyia mahojiano shahidi wa 11 wa upande wa Jamhuri. Licha ya Lundu kuugua, pia mawakili wengine wawili -...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Back
Top Bottom