Msaada wenu wakuu nimekwama kupata ajira

Msaada wenu wakuu nimekwama kupata ajira

miami0101

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,336
Reaction score
1,276
Habari zenu wakuu
Nakuja mbele yenu leo ndugu yenu kijana "mwanaume" nimekwama kabisa katika suala zima la kapata ajira.

Najua hapa JF kuna watu wenye nafasi mbalimbali makazini pia naweza nikapata ushauri mzuri, famili inanitzama mimi maisha yamekua ya kushnda na njaa mara kwa mara hata chakula nashindwa, tokea biashara yangu ianguke maisha yananipiga sana yamekua magumu mno.

Nimezunguka kuomba kazi bila mafanikio yoyote, mawazo yananimaliza ndugu zangu.

Naombeni msaada wenu japo wa kazi yoyote 2 ilimrad mkono uende kinywani

Kuhusu elimu nina diploma ya IT npo dar
 
Pole sana mkuu, I can really feel what u'r going through, Usikate tamaa Mungu atakufanyia wepesi.
 
Mkuu badala ya kutafuta ajira kwanini usijushuhulishe na biashara ndogondogo. Zitaingiza pesa sana tu hukosi kitu. Kuna ambazo mtaji wake ni mdogo sana....mfano fungua genge mtaani, kuuza matunda mjini, kuuza kahawa, shoeshine mjini, kuuza juisi za miwa, kuchoma mahindi, kuuza ndizi na mishkaki mtaani, kuuza ma cover ya simu na accessory zake....kuuza mtumba mjini. Yaani kifupi una fursa za kujiajiri nyingi sana kuliko kuajiriwa...usiseme huna mtaji...
 
Twende zetu tukalime aiseeee, tutaumia Kwa Kipindi kifupi but baada ya hapo tutasimama
 
Pole sana ajira nyingi jiwe kazivuruga wafanyabiashara wamekimbia km kwenu kuna nafasi fuga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom