Bar ya Macheni ilioko Magomeni Mapipa imevunjwa ovyo ovyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bar ya Macheni ilioko Magomeni Mapipa imevunjwa ovyo ovyo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jogi, Aug 18, 2012.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  hii sehemu iliwaumiza wengi sana!!!!

  [​IMG]
  kilio cha wacha mungu kimefika mbinguni.
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Hivi kwanza Macheni mwenyewe yuko wapi siku hizi?? Ama ameanza KUFUA...???
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Atakuwa analelewa na jimama kinondoni,
  usicheze na kufua,
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Macheni kafulia teh teh teh...na yule boss aliyekuwa anapakaziwa kwamba ndio mdhamini wa mambo hayo machafu anapigania kusalimika kwenye kesi ya kutumia madaraka vibaya. Ukiona hivyo ujue times change...we also must be changing
   
 5. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145


  [​IMG]Hussein macheni na bibi ake Ashura macheni ndani ya bilicanas usiku wa twanga
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hiyo staili ya kuogea poda..teh teh teh
   
 7. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tuzidi kuomba Mungu hizi ajira za jk ziishe maana machangudoa wamezidi humu mjini.
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  ingawa hao mbwa mwitu watatawanyikia kitaa, kwa jinsi mitego yao inavyokuwa, tutegemee watawapata wanakondoo huko.
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  mkuu unatisha!!!!
  Kitendo bila kuchelewa foto mwaaa jamvini, naamini TSJ ni ukiritimba wa kuhabarishana.
   
 10. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Takbiiiir, sasa watahamia wapi? Tujuzeni ili tuanze dua mpya
   
 11. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Bar maarufu ilioko Magomeni Mapipa sasa imevunjwa kutokana na uapanuzi wa barabara kwa sasa
  zile huduma zote zilizokuwa zikipatikana pale kwa sasa hamna ukifika pale usiku utakutana jengo limevunjwa na polisi jamii wakiwa wameweka doria eneo hilooo
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo mkuu yale mambo yetu ndio hamna tena??
   
 13. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Najenga kanisa mahali hapo.
  Unakumbuka silent inn mwenge? Sasa ni kanisa!!!
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kulikuwa na mambo gani mengine zaidi ya pombe?
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  yes, ujasiriamiili
   
 16. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  mkuuu nakumbukaaaaaa mzee kakobe amelikomboaaa lile eneo
   
 17. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  hamnaaaa tena mpaka uende ambiance au lambo manzese palee
   
 18. MAVUNO

  MAVUNO JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Sasa mambo kinondoni kwa ashura
   
 19. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  mkuu unaishi mjini au uko mkoani??
   
 20. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  sasa ambiance gharama sana mkuu...ngoja niamie kimboka tu japo fujo nyingi sana mitaa ile......
   
Loading...