Kwa kawaida uongozi ni dhamana kubwa wanayopewa Watu mbalimbali lakini hii ya Wanyama inaweza kukuacha hoi kidogo….. kwenye nchi za wenzetu Jamii huamua kumsimamisha Mnyama kugombea nafasi flani...
Tuskegee experiment
(Syphilis ndio ilikuwa UKIMWI YA MIAKA HIYO)
A doctor draws blood from one of the Tuskegee test subjects.
The Tuskegee Study of Untreated Syphilis in the Negro Male, also...
Wasalamu wana jukwaa
Kwa wale wakazi Dar au majiji makubwa neno jogging natumaini siyo geni kwao.
Katika utawala wa Kikwete jogging ilishamiri sana hasa siku za Jumamosi. Vikundi mbalimbali...
Hivi kwa mfano Rais wa nchi yoyoyte duniani akimtamani mwanamke/msichana atampataje? Nasema hivi maana kila wakati ana walinzi, muda wote first lady wako wote etc. Sasa anafanyaje kumapata say...
Wakuu habari za saa hizi,
Kwa kifupi ni kwamba Leo katika kupitia pitia maandiko nikajikuta nafunua ukurasa huu Wa Biblia nikabaki nashangaa.
Nafikiri wengi wetu tuliona lile tukio la Jana la...
Press Conference
Mimi Jerry C. Muro Nitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari siku ya Jumamosi 07/10/2017 Majira ya saa Sita (12:00 noon ), katika Hotel ya Protea jirani na kanisa la St Pete's...
Hapa mtaani kwetu huwa tuna mechi za kirafiki na walimu wa shule zilizomo ndani ya kata
siku ya Ijumaa niliwapelekea barua ya mwaliko shule x kwa ajili ya friend match
Nilipofika pale shuleni...
Vita kwa sasa ni vikali kwa kweli ,Mambo haya tulizoea kuyasikia kama story sasa tunayaona kwa macho huku kwetu.
Shetani yupo Kazini kweli kweli .
Wito wangu watu wa MUNGU tuamke kweli kweli...
Habari za leo;
Baada ya nenda uje na vuta nikuvute nyingi hatimaye nimefanikiwa rasmi kufungua madai ya fao la kujitoa pale NSSF ILALA.
Kilichonifanya nilete uzi huu hapa ni namna na jinsi...
Wakati tukiwa tumemaliza kipindi ambacho Waislamu ulimwenguni walifunga mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan takribani siku 45 zilizopita ambao ni moja ya nguzo tano kuu katika dini ya Kiislamu...
Huwa inanishangaza sana kuona/kuskia WaTz wakisema kuwa nchi zinazotumia English wanaendeleza ukoloni. Hoja yangu ni kama huo ndio ukweli, mbona hampendi kutumia majina ya asili yenu. Unapata...
Ni mchango wa pesa ya Figo kwa yule Dokta mwanafunzi wa KCMC, ili nae aje aokoe wengine.
Nimeshangaa sana kwakweli. Watu wamejikamua..mwenye elfu 50, mwenye elfu, lakini kila Diamond na Alikiba...
PAMOJA na kuwepo viumbe vikubwa na vya kutisha baharini leo hii, mnamo zama za kale palikuwa na viumbe wakubwa zaidi na wa kutisha zaidi kuliko wa leo na ambao wangeweza kuwameza papa na nyangumi...
Science, "the intellectual and practical activity encompassing the systematic study of the structure and behavior of the physical and natural world through observation and experiment" (oxford...
Hello great minds
Waja unena, "ulimi uliponza kichwa "
Wengine husema " hata mpumbavu akinyamaza kimya huesabiwa mwenye hekima.
Wenye hekima wamewai kuonya "mwanamke mpumbavu ubomoa nyumba...
Leo asubuhi sana nimeamushwa na ujumbe huu kutoka namba 062953411* bila shaka hii ni namba ya Hallotel, ombi langu kwa Kampuni ya Hallotel ni kwamba watoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na...
Nasikia eti traffic wako mbioni kugagua leseni pamoja na vyeti vya vyuo vya udereva walikosomea madereva.
Nijuavyo mimi 99.1% ya madereva Tanzania walipewa leseni zao mkononi bila kwenda vyuo vya...
Wakuu, naombeni ushauri ndugu zangu mliobobea kwenye bishara za hapa na pale hasa jijini Dar es Salaam. Mimi nina mtaji wa milioni tano tu kwa sana ambao nataka nijaribu kuuzungusha kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.