Kwanini ukimya wangu umekuwa shida?

Kwanini ukimya wangu umekuwa shida?

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Hello great minds

Waja unena, "ulimi uliponza kichwa "

Wengine husema " hata mpumbavu akinyamaza kimya huesabiwa mwenye hekima.

Wenye hekima wamewai kuonya "mwanamke mpumbavu ubomoa nyumba kwa kinywa chake mwenyewe "

Kwa mkutadha huo , unaweza dhani ukimya unaweza kukuepusha na mengi.

Kwa upande wangu mambo yamekua tofauti. Japo generally, I'm an introvert person, lakini unichukulia poa naweza kukushangaza .

Iko hivi, historia yangu imenifundisha kufight mwenyewe mwenyewe since sijapata kuishi maisha ya kudekezwa. Mungu amenisaidia leo nahusika na maisha yangu kwa almost 100%.

Ndani mwangu nimejiumbia kuwa kwa jinsi maisha yalivyo changamoto, sipendagi kabisa kusumbua wengine unnecessary. Usitegemee nikupigie simu nikueleze shida zangu, au nikuombe msaada hasa wa pesa. Na hata ikitokea ninauhitaji najitahidi sana awe ni mtu baki na wala si ndugu au rafiki wa karibu.

Hili pia ni matokeo ya past experiences, unapowaeleza watu shida zako, 90% watafurahia kusikia una shida na pia hawatokusaidia na zaidi ya 8% hawotojali na pengine 2% ndo wataonyesha kujali.

Sasa kwa tabia yangu ya ukimya na kutoeleza shida na maswaibu ninayoyapitia, rafiki zangu na ndugu na jamaa unichukulia jamaa

Anakiburi
Ana dharau
Ana majivuno
Hajali
Ana jisikia and all none sense kama hizo

Hoja yangu ni kuwa inakuaje ukimya wangu unasumbua wengine?

Wakuu ebu leteni uzoefu katika hili ili tuyajenge pamoja katika jmosi hii iliyotulia

Nawasilisha
 
Live your life Mkuu. Huwezi timiza hitaji au takwa la kila mtu
 
Huwezi kuzuia watu wasikuseme hata marehemu husemwa itakuwaje kwa wewe unayeishi?.

La muhimu ni kupiga kazi na kuacha kufuatilia watu wanafikiria nini kuhusu mimi

Jikubali usikubali kupangiwa namna ya kuishi
 
Kuna maisha ukiishi na kuna vitu ukiacha kufatilia unakuwa na amani sana,ndugu kwa nini ujisumbue?live ur life mkuu.
Always Remember YOLO(You Only Live Once)
 
You're almost my reflection.
Bora wooote lakini sio ndugu.
Ndugu are devils killing silently.
Mimi binafsi Ndugu ukitoa wale wa Damu sina ndugu kipaumbele wengine.
I admit
Mkuu
Wewe una sound utakua mtata sana
 
Ni ngumu mtu kuishi kama kisiwa
Sijakwambia uishi kama kisiwa, nimekwambia uache mawasiliano na watu ambao hawakuelewi.

Kama huwezi, waeleweshe wakuelewe, ukishindwa, ishi nao kwa kukubali matokeo kwamba hawakuelewi.

You can't eat your cake and still have it.

Matatizo yetu mengi yanatokana na kuwa na contacts nyingi sana zisizo na tija na watu ambao tuna personality conflicts nyingi nao.
 
Okay
Well said
 
Word
 
Kuna watu wanasubiri upate natatizo haswa ya kufiwa, kuuguliwa and the like ili waone utafanyaje kwasababu tu hauwaelezei shida zako.

Siwezi kukueleza cos naamini katika kufight mwenyewe.

Dawa inayonisaidia huwa ni muda tu. Time is the best healer.

Hongera jamaa, tuko wengi..
 
You're almost my reflection.
Bora wooote lakini sio ndugu.
Ndugu are devils killing silently.
Mimi binafsi Ndugu ukitoa wale wa Damu sina ndugu kipaumbele wengine.
I admit
You're falling on a fallacy of generalization. Inawezekana ndugu zako walikutendea mabaya, but hiyo sio sababu ya kuona ndugu wote hawafai.

Shout out to all my relatives out there, wamechangia kiasi kikubwa mimi kufika hapa nilipo.

In life, you win some and you lose some. Stick with your winnings brother, life is too short to count the loss you made sixteen months ago!
 
You're almost my reflection.
Bora wooote lakini sio ndugu.
Ndugu are devils killing silently.
Mimi binafsi Ndugu ukitoa wale wa Damu sina ndugu kipaumbele wengine.
I admit
Mkuu umeongea kwa hisia kweli kweli, upo sahihi kabisa aisee.
 
Kuna watu wanasubiri upate natatizo haswa ya kufiwa, kuuguliwa and the like ili waone utafanyaje kwasababu tu hauwaelezei shida zako.

Siwezi kukueleza cos naamini katika kufight mwenyewe.

Dawa inayonisaidia huwa ni muda tu. Time is the best healer.

Hongera jamaa, tuko wengi..
Wanotuotea njaa, washindwe akiyanani
 
Back
Top Bottom