Swali la kizushi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,000
Hivi kwa mfano Rais wa nchi yoyoyte duniani akimtamani mwanamke/msichana atampataje? Nasema hivi maana kila wakati ana walinzi, muda wote first lady wako wote etc. Sasa anafanyaje kumapata say Miss Nchi fulani.. Huwa linanitatiza maana Mzee wa IPP aliopoa Ntula..... nilijiuliza alimpataje maana na yeye si mtu wa kwenda mitaani etc.
 
Anaagiza tuu...kwani nguo Nan anamnunulia let say boxer ,
bukta na vest? Rais ana wasiri wake kama ilivyo kwa watu maaruf na matajir
 
They don't hunt like how average Joes do!

Maneno yao hua ni machache tu ila yenye nguvu balaa.

Mfano, "unataka wilaya gani?"
sawa kumwambia anataka wilaya gani anaanzaje na anampata wapi kumwambia?
 
Mbona kama unatutafutia kesi mkuu!

Yani unataka tuseme Mr. Oresident hua anamtuma fulani?

Unapajua Mabwepande?
Mbona kama unatutafutia kesi mkuu!

Yani unataka tuseme Mr. Oresident hua anamtuma fulani?

Unapajua Mabwepande?
swali langu halijamlenga mtu yeyote in particular! Najaribu ku imagne scenario kama hiyo! maana yanasemwa mengi lkn ...
 
swali langu halijamlenga mtu yeyote in particular! Najaribu ku imagne scenario kama hiyo! maana yanasemwa mengi lkn ...
Mimi uwezo wangu umeishia hapo mkuu, wachangiaji wengine watamalizia. Mchana mwema!
 
Hahahahahaaa acha wivu wew.....yan kaukuu wa wilaya ndo kamekuumiza kiasi hcho......
 
Back
Top Bottom