NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,299
- 1,809
Vita kwa sasa ni vikali kwa kweli ,Mambo haya tulizoea kuyasikia kama story sasa tunayaona kwa macho huku kwetu.
Shetani yupo Kazini kweli kweli .
Wito wangu watu wa MUNGU tuamke kweli kweli kupigana vita hivi,kwa imani yako unapo Abudu pigana kama una mwabudu MUNGU aliye hai.
Na kwa wale waliokuwa hawaamini Uwepo wa MUNGU ni wakati wa kuamini kwani mambo haya Hayatokei kwa bahati Mbaya
Kama shetani yupo Kwanini Huamini MUNGU yupo?Tumeona kazi za Mungu na pia Maneno yake yanadhibitika aliyo nena kupitia Manabii Mbalimbali .
Tuangalie hiyo Picha sina nyongeza.
Amina watu wa MUNGU?