Wafahamu viumbe watatu wa kutisha wa baharini

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
PAMOJA na kuwepo viumbe vikubwa na vya kutisha baharini leo hii, mnamo zama za kale palikuwa na viumbe wakubwa zaidi na wa kutisha zaidi kuliko wa leo na ambao wangeweza kuwameza papa na nyangumi tuwaonao leo baharini. Wafuatao ni wanyama aina tatu wa kutisha waliokuwa wakiyatawala maji ya dunia mnamo zama za kale:

1. Shastasaurus
terrifying-prehistoric-sea-monsters-1.jpg
Shastasaurus ni mnyama mkubwa zaidi aliyepata kutokea baharini, akiwa na urefu wa mita 20 na alikuwa na umbile kama la pomboo (dolphin) na chakula chake kikiwa samaki.

2. Dakosaurus

terrifying-prehistoric-sea-monsters-2.jpg
Je, alikuwa samaki? Alikuwa mmoja wa wanyama watambaao? Au alikuwa na sifa zote mbili?Dakosaurus, aligunduliwa mara ya kwanza Ujerumani wakati wa muhula wa Jurassic, na alikuwa kiumbe mwenye kula wanyama wengine. Alifanana na mamba kidogo na alifikia urefu wa mita tano.

3. Megalodon
terrifying-prehistoric-sea-monsters-8.jpg
Ni jamii ya papa, mmoja wa viumbe wakubwa zaidi waliokuwa wakiwala wanyama wenzao. Alikuwa ni mkubwa wa kutisha — mara tatu ya ukubwa wa papa tunayemfahamu leo. Aliweza kukua na kufikia urefu wa mita 20.
 
Haaahahahaha huyo ni cha mtoto kwa leviathan mnyama hatari duniani aliyepata kutokea urefu wale zaidi ya mita 100..... Alikuwa ana tema cheche na kusababisha matetemeko na alikuwepo hata kabla dunia haijaumbwa na sasa ametoweka ila atarudi mwisho wa dunia huyo hana mpinzani hata vitabu vya dini zote vyamgusia mfano biblia hapa inatoa sifa zake embu zisome kwa makini alafu umuongeze kwenye list
images (38).jpg

Ayub 41
26 Mtu akimpiga kwa upanga, haumwingii;Wala fumo, wala mshale, wala mkuki wenye ncha.
27 Yeye huona chuma kuwa kama nyasi,Na shaba kama mti uliooza.
28 Mshale hauwezi kumkimbiza;Na mawe ya teo kwake hugeuka kuwa kama makapi.
29 Marungu huhesabiwa kama mabua;Naye hucheka mshindo wa mkuki ukitupwa.
30 Pande zake za chini ni kama vigae vikali;Hutandika malazi kama kuweka chombo cha kupuria nafaka juu ya matope.
31 Yeye huchemsha kilindi mfano wa nyungu;Hufanya bahari kuwa kama mafuta.
32 Hufanya mapito yake kung?aa nyuma yakeHata mtu angedhani kilindi kina mvi.
33 Juu ya nchi hapana aliyefanana naye,Aliyeumbwa pasipo oga......

Cc Wick Malcom Lumumba mtu chake hearly Red Giant
 
A2BEB2B9-B1D0-455D-8BA4-8B2C19BC7C55.jpeg
Haaahahahaha huyo ni cha mtoto kwa leviathan mnyama hatari duniani aliyepata kutokea urefu wale zaidi ya mita 100..... Alikuwa ana tema cheche na kusababisha matetemeko na alikuwepo hata kabla dunia haijaumbwa na sasa ametoweka ila atarudi mwisho wa dunia huyo hana mpinzani hata vitabu vya dini zote vyamgusia mfano biblia hapa inatoa sifa zake embu zisome kwa makini alafu umuongeze kwenye list
View attachment 819608

Wameenda wapi sa hivi?
 
Duu huyu alikuwepo kabla ya dunia kuumbwa kwa hiyo aliishi wapi?
 
Ni story ndefu ntaujaza tu huu uzi wa mtu ila kiufupi alikuwepo tokea dunia haijaumbwa hivi yaani miti na ardhi yeye alikuwepo kipindi UNIVERSE hii yenye sayari 9+ ilikuwa imejaa maji tu na giza ila baada ya dunia kuumbwa ilionekana angesumbua sana na huenda dunia isingemaliza hata mwaka so akafichwa mpaka dunia ikija kuisha ndio atarudi hii simulizi ni kulingana na vitabu vya kidini na ngano za kigiriki,kiyahudi na imani nyingine kama 100 hivi

Dunia hii ni zaidi ya tuijuavyo
 
Hekaya
 
hahaaa hawa jamaa na hekaya zao bwana dahhh mtihani sana
 
Back
Top Bottom