Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Badala yake itumie Taasisi zake kama vile NHC au tba kwenye hayo maeneo waliyoyatenga wajenge nyumba halafu hizo Balozi kama wakitaka kuhamia Dodoma wanunue au kupanga ktk kwa Mashirika yetu au...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Top ten nzima yachukuliwa na wavulana.muhagachi chacha[kibaha sec] ndiye wa kwanza,samweli katwale[mzumbe sec] ndiye wa pili na abdallah salim[FEZA sec] kashika nafasi ya tatu ila shule iliyofanya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
MAPINDUZI NDIO SASA Na, Robert Heriel Nami nikiwa katika fikara kuu, nikifikiri yaujazao ulimwengu na kuzunguka humo. Ndipo sauti kutoka katika giza ikasema: Je ni nani awezaye kuelewa mambo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ningependa kutoa ushauri kwa serikali ya Tanzania na hususa Mamlaka ya Leseni nchini kuwa kipindi kilichowekwa na serikali cha miaka mitatu ili ku-renew leseni ya udereva ni kifupi sana na...
6 Reactions
23 Replies
5K Views
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limefafanua sababu za kuonekana magari ya dereya eneo la machimbo ya madini ya Tanzanite, Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Msemaji wa JWTZ, Kanali...
8 Reactions
103 Replies
15K Views
Juzi nilikuwa naangalia documentary fulani ya wachina inaitww Major Project. Aisee nilishangaa sana jamaa walivyo serious na kumaitain hizo project. Mfano wanavyokagua madaraja.. Reli.. vichwa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanafunzi 184 wamepata ujauzito katika umri mdogo na kukatisha masomo wilayani Bahi mkoani Dodoma. Akizungumza wakati wa kuzindua Kampeni ya Mapambano dhidi ya Mimba na Ndoa za Utotoni mjini hapa...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
asee washakaji zanguni nimewamis sana st anns 2011 kwa sister Aroge na yule mwingine. The likes of Nuru Ryton Kyando, ester john shemeza,brenda kassinde,gerald mrosso,alodia antony, catherine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu hebu tujadili kuhusu huu mtandao wa Tigo na usumbufu wanaotupa wa kupigiwa na no.zao zinazoanzia 0901.nimeblock kama 9 ila kila siku wanakubadilishia no.nina mitandao yote mbona wengine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nisipoteze muda kuandika sana au kuunda logic, swallow it or spit it. Mitandao ya ajira hapa Tanzania, hasa Zoom Tanzania na Brighter Monday inalaghai watu/watafuta ajira kwa post za ajira mpya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna hivi ving'amuzi ya Dstv ambavyo ukiwa vinachukua muda mrefu sana kusachi hadi kumaliza na kuleta picha. Yaani kama unawahi tukio vinafunguka baada ya dakika tano. Halafu mara vinakata unaanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam wna jopo nianze kuquorte slogan ya gavana wa zaman wa jimbo la california anold shwazniger ktk principle za mafanikio ansema if u want 2 success u have to be 22 inch biceps and u have...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Assalam wakuu, nadhani mu wazima wadau, niende direct kwenye mada, kuna kijana wa miaka 26 kila akipanda gari hasa daladala kwa umbali wa Gerezani hadi Gongolamboto na basi za mikoani huwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna dada mmoja alikuja pale Ardhi University kusomea mambo ya ubunifu wa majengo mlioingia madarasani mnaita architect. Yule dada alitoka kwenye familia moja mikoa ile ya kula ndizi kama...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Bora gari kuliko nyumba. Gari ni nyumba tosha kabisa.Unaweka vitu vyako vyote na unaenda mahali popote pale na unaweza kulala popote pale. Ukichoka mpe mlinzi tu buku akulindie gari yako nje...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Waziri wa Maji Prof.Makame Mbarawa ametoa muda wa miezi miwili kwa magwiji wa wizi wa maji kujisalimisha wenyewe na kupata msamaha ili kuunganishwa katika mfumo mpya wa ulipaji bili kwa njia ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
0 Reactions
2 Replies
3K Views
UTARATIBU WA KUDAI FIDIA YA BIMA KWA ABIRIA ALIYEPATA AJALI (CLAIM PROCEDURE) Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe...
4 Reactions
3 Replies
5K Views
muda kidogo nimekua nikiobserve,sisi watanzania tuna katabia ka kunywa soda bila kutumia glass.. hivi tuna matatizo gani?
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Back
Top Bottom