Msaada wa kibiashara

Msaada wa kibiashara

nasssen

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
489
Reaction score
537
Wakuu, naombeni ushauri ndugu zangu mliobobea kwenye bishara za hapa na pale hasa jijini Dar es Salaam. Mimi nina mtaji wa milioni tano tu kwa sana ambao nataka nijaribu kuuzungusha kwenye biashara.

Naombeni mawazo nifanye biashara gani ambayo itanilipa vizuri ukiachana na changamoto ambazo kila biashara inazo.

Nakaribisha mawazo ndugu zangu, asanteni!
 
Hongera mkuu kwa mawazo mazuri.

Jambo la kwanza unalipaswa kujua ni kua hakuna biashara isiyo na changamoto...haijawahi kutokea duniani. Na la pili ujue mwanzo ni mgumu sana. Hasa hasa biashara hizi za mitaji midogo ya under 10 million. Changamoto ni nyingi na ugumu ni mwingi pia.

Ushauri wangu.
Fanya kitu unachokipenda au unachokijua zaidi. Itakua rahisi kupambana na changamoto kwasababu knowledge is power.
Mfano. Mimi nilisoma na ninapenda sana ujenzi tangu utotoni. Nilivyomaliza, kwakua napenda ujenzi nikatafuta opprotunity kwenye just a small part ya ujenzi nikaona mwanya upo kwenye madirisha ya aluminium. Nikaongeza ujuzi na kufanya research za bei na utaalam zaidi, competition e.t.c kisha nimafungua workshop ya madirisha ya aluminium. Kwa mtaji wa tshs 3m na ninasurvive kwa shida shida ivo ivo pamoja na changamoto zote zilizopo.

Hivyo nakushauri fanya upendacho. Kifanyie utafiti wa kina. Kishe take off..
Ukipata ushauri wa mtu kua kitu flani kinalipa sana, Fanya utafiti kwanza. Usiingie tu kichwa kichwa.

Kila la heri mkuu.
 
Nashukuru sana mkuu!

Nimekuelewa vizuri sana ndugu. Asante kwa muda wako kunielewesha nini cha kufanya, yani umenipa somo zuri sana.

Ngoja nizunguke, nikae chini nifanye mchanganuo mzuri na wa kina.

Asante sana tena sana!!
 
Karibu sana mkuu.. kila la heri na nnakutakia mafanikio
 
Back
Top Bottom