Kwa muda sasa siasa za Afrika na waafrika zimekuwa sikifanana na kutofautiana toka taifa moja hadi jingine hasa muundo na mwenendo wa kisiasa katika nyakati hizi za vyama vingi
Afrika imekuwa na...
Wanasema tembea uone au subiria usimuliwe kuna sheria au tamaduni ambazo zinatumika kwenye nchi mbalimbali na ukiziangalia unakuta ni tofauti na ulivyozoea au hujawahi kabisa kudhani kama kuna...
Wakuu
Mbali na vijembe na kejeli zinazoendelea mitandaoni juu ya Mwanadada Jokate juu ya uteule wake kutoka kwa mheshimiwa rais.
Nimepitia mitandaoni a.k.a nime googlize wasifu wake na nikapata...
Katika vitu vinavyoifanaya BASATA ikafahamika kuwa ipo Tanzania ni kufungia, kuadhibu, na kuzuia wanamuziki au baadhi ya nyimbo. Sijui kama kuna mtu anaitambua BASATA kutokana na juhudi zake...
Wanasema tembea uone au subiria usimuliwe kuna sheria au tamaduni ambazo zinatumika kwenye nchi mbalimbali na ukiziangalia unakuta ni tofauti na ulivyozoea au hujawahi kabisa kudhani kama kuna...
Nashindwa kuelewa kwa wanajamii wa kagera kujitenga,juzi kulianzishwa siku ya wanyambo pale makumbusho,Kwa misingi hiyo wanyambo wanasema siyo wahaya!!Je ni wanyarwanda??walioko Tanzania??ila wote...
Watu wengi ulimwenguni hupenda kuzungumza kuhusu usawa, uhuru, na kujikomboa.
Katika sehemu nyingi za ulimwengu watu wanatamani kuwa huru kutokana na ukandamizaji, ubaguzi, na umaskini...
Wakuu kwema?
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja, upande ule wa wizara ya "Awamu ya Pili Junior " umekumbukwa kwenye nyongeza ya mwisho wa mwezi au umesahaulika kama sisi upande wa...
Habar za leo ndugu zangu wapendwa ktk Taifa,
Sisi sote (Watanzania) adui yetu (our common enemy) ni mmoja ambaye ni Chama cha mapinduzi ( ccm) siandiki thread hii kwa kuwa ninachuki binafsi na...
Habari waungwana, kuna rafiki yangu mmoja(sio member Wa jf) alikuwa anauliza kuhusu centre nzuri ya kufundisha masomo ya PSPTB ngazi ya professional 1 .
Yeye ni Mwanafunzi aliyemaliza degree na...
Mwanza. Jeshi la Polisi jijini Mwanza limekamata silaha nne aina ya bastola zilizotengenezwa kienyeji na risasi saba za silaha ya shotgun.
Pia wananchi wenye hasira wanadaiwa kumuua kwa kipigo...
Kutokana na tabia za watu tulionao awamu hii wanaofanya kila jambo au wenye mtazamo wa kufanya karibu kila jambo wakilenga kuwakomoa au kuwapiga vijembe wapinzani, sitashaangaa ndege zilizosalia...
Dar es Salaam. Star Media Tanzania Limited (Startimes) has said it has been operating according to the laws of the land.
The company also plans to discuss with Tanzania Communications Regulatory...
nawatakia heri na amani wakuu
naomba msaada wa maelezo kuhusu water pump .
ni kisima chenye urefu wa mita 78 kwenda chini na maji yanatoka hapo mpaka kwenye tenki umbali wa mita 420. mara ya...
Unafungua Profile ya mtu unakutana na haya maneno "This member limits who may view their full Profile"
Acheni uchoyo wengine tukitulia huwa tunapenda kupitia pitia threads na comments za zamani.
Habari za wakati huu wakuu
Kwanza nianze kuwapongeza wateule wapya wa Mh Rais ila niwaambie tu wasijasahau maana muda wowote unaweza kutumbuliwa ukienda kinyume na agizo la mkuu.
Nije kwenye maono...
Unajua ukizitaja nchi ambazo zimekuwa zikizungumziwa sana kuwa na sheria ngumu na kali, China nayo imo… unaweza kuona ishu ya kukamatwa unawinda ndege ni kesi ndogo lakini sio kesi ndogo kwa...
Wakuu nini malengo ya sisi kuwepo hapa duniani na tuna umuhimu gani wa kuwepo hapa duniani ikiwa tunakufa?
Kwa nini tusingeachwa tuishi milele kama tuna umuhimu wa kuwepo hapa duniani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.