kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,717
- 17,221
Nasikia eti traffic wako mbioni kugagua leseni pamoja na vyeti vya vyuo vya udereva walikosomea madereva.
Nijuavyo mimi 99.1% ya madereva Tanzania walipewa leseni zao mkononi bila kwenda vyuo vya udereva. Nijuavyo mimi michongo yooote ya kupata leseni inaendeshwa na askali police wasio wema.
Nadhani saa ya ulaji kwa vyuo vya udereva imewadia "madereva" wa magari kwenda kununua vyeti kwao ili kujinusuru. over!!!