Jerry Muro kufanya mkutano na waandishi wa habari Leo saa sita kuwajibu CHADEMA

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,467
2,000
Press Conference
Mimi Jerry C. Muro Nitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari siku ya Jumamosi 07/10/2017 Majira ya saa Sita (12:00 noon ), katika Hotel ya Protea jirani na kanisa la St Pete's Oyerstabay.

AGENDA
Nitajibu tuhuma zilizotolewa Leo Ijumaa 06/10/2017 na Viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambao ni Mhe Godbless Lema - Mbunge Arusha Mjini, Ndugu Benson Kigaila - mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo Chadema.

Nawakaribisha Waandishi wa Habari wote, na wale wa Social Media katika mkutano wangu, Karibuni sana.

Imetolewa na
Jerry C. Muro
Dar es Salaam
06/10/2017
 
libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
3,296

Kwani yeye kapewa nafasi ya Polepole
 
barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,692
2,000
Kazi inayomuweka mjini ni ya mkewe,lazima apambane apate ya kwake kwa namna yoyote ili awe na jeuri ya mji,best yake atakuja tu hapa kumtetea.Akiwa kwenye vijiwe vya bia,akiulizwa kwanini anajitoa akili namna hii,majibu yake ni rahisi,anasema "Mimi nu Mzee wa Fursa".Anajua katika awamu hii,ukifanya kama anavyofanya yeye ni "Fursa".

Kama mtu aliwahi kufungiwa mwaka mzima katika familia ya Soka kwa kuropoka vibaya,hawezi kuwa na "credibility" katika familia ya siasa.Hata Manji aliyemuweka mjini kwa kipindi kirefu kwa kumpa hela ya kula na kumalizia nyumba yake,alipokuwa gerezani alimdhihaki,akafikia mahali kusema awamu hii ya tano,kila Rais ameingia gerezani,kuanzia Rais wa Yanga,Rais wa TFF na Rais wa TLS...Kweli U-Rais wenye "heshima" ni wa JPM tu.

Rafiki yangu Sirro ananiangusha sana,utafikiri sio uzao wa Viunga vya Mtakatifu Pius Pio?Huyu Jerry alipoandika tu kuwa LEMA na Nassari wanatakiwa "kupotezwa kwa risasi"...alitakiwa awe polisi kwa upepelezi zaidi,na kiburi hiki anakipata kwa Makonda,huyu mtoto Makonda anatuharibia ustarabu wa Tanzania hii.Kuna kitu tunatakiwa kufanya kama Taifa.

Kwanini wajinga kama hawa wanapewa nafasi kiasi hiki?Kwamba huku ndiko CCM yetu ilikofikia?kawa msemaji wa Chama na Serikali?Hii ndio ile CCM yetu tuliyoitoa kwenye TANU YOUTH LEAGUE!??Hapana si hii...heri ife ili izaliwe upya
 
PNC

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
7,982
2,000
Kazi inayomuweka mjini ni ya mkewe,akiwa kwenye vijiwe vya bia,akiulizwa kwanini anajitoa akili namna hii,majibu yake ni rahisi,anasema "Mimi nu Mzee wa Fursa".Anajua katika awamu hii,ukifanya kama anavyofanya yeye ni "Fursa".

Kama mtu aliwahi kufungiwa mwaka mzima katika familia ya Soka kwa kuropoka vibaya,hawezi kuwa na "credibility" katika familia ya siasa.Hata Manji aliyemuweka mjini kwa kipindi kirefu kwa kumpa hela ya kura na kumalizia nyumba yake,alipokuwa gerezani alimdhihaki,akafikia mahali kusema awamu hii ya tano,kila Rais ameingia gerezani,kuanzia Rais wa Yanga,Rais wa TFF na Rais wa TLS...Kweli U-Rais wenye "heshima" ni wa JPM tu.

Rafiki yangu Sirro ananiangusha sana,utafikiri sio uzao wa Viunga vya Mtakatifu Pius Pio?Huyu Jerry alipoandika tu kuwa LEMA na Nassari wanatakiwa "kupotezwa kwa risasi"...alitakiwa awe polisi kwa upepelezi zaidi,na kiburi hiki anakipata kwa Makonda,huyu mtoto Makonda anatuharibia ustarabu wa Tanzania hii.Kuna kitu tunatakiwa kufanya kama Taifa.

Kwanini wajinga kama hawa wanapewa nafasi kiasi hiki?Kwamba huku ndiko CCM yetu ilikofikia?kawa msemaji wa Chama na Serikali?Hii ndio ile CCM yetu tuliyoitoa kwenye TANU YOUTH LEAGUE!??Hapana si hii...heri ife ili izaliwe upya
Asante mkuu Barafu umenena vema Mr Bombardier
 
mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,305
1,250
Press Conference
Mimi Jerry C. Muro Nitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari siku ya Jumamosi 07/10/2017 Majira ya saa Sita (12:00 noon ), katika Hotel ya Protea jirani na kanisa la St Pete's Oyerstabay.

AGENDA
Nitajibu tuhuma zilizotolewa Leo Ijumaa 06/10/2017 na Viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambao ni Mhe Godbless Lema - Mbunge Arusha Mjini, Ndugu Benson Kigaila - mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo Chadema.

Nawakaribisha Waandishi wa Habari wote, na wale wa Social Media katika mkutano wangu, Karibuni sana.

Imetolewa na
Jerry C. Muro
Dar es Salaam
06/10/2017
Dahh kabisaaa kuna vimtu vitaenda
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,938
2,000
Kazi inayomuweka mjini ni ya mkewe,lazima apambane apate ya kwake kwa namna yoyote ili awe na jeuri ya mji,best yake atakuja tu hapa kumtetea.Akiwa kwenye vijiwe vya bia,akiulizwa kwanini anajitoa akili namna hii,majibu yake ni rahisi,anasema "Mimi nu Mzee wa Fursa".Anajua katika awamu hii,ukifanya kama anavyofanya yeye ni "Fursa".

Kama mtu aliwahi kufungiwa mwaka mzima katika familia ya Soka kwa kuropoka vibaya,hawezi kuwa na "credibility" katika familia ya siasa.Hata Manji aliyemuweka mjini kwa kipindi kirefu kwa kumpa hela ya kura na kumalizia nyumba yake,alipokuwa gerezani alimdhihaki,akafikia mahali kusema awamu hii ya tano,kila Rais ameingia gerezani,kuanzia Rais wa Yanga,Rais wa TFF na Rais wa TLS...Kweli U-Rais wenye "heshima" ni wa JPM tu.

Rafiki yangu Sirro ananiangusha sana,utafikiri sio uzao wa Viunga vya Mtakatifu Pius Pio?Huyu Jerry alipoandika tu kuwa LEMA na Nassari wanatakiwa "kupotezwa kwa risasi"...alitakiwa awe polisi kwa upepelezi zaidi,na kiburi hiki anakipata kwa Makonda,huyu mtoto Makonda anatuharibia ustarabu wa Tanzania hii.Kuna kitu tunatakiwa kufanya kama Taifa.

Kwanini wajinga kama hawa wanapewa nafasi kiasi hiki?Kwamba huku ndiko CCM yetu ilikofikia?kawa msemaji wa Chama na Serikali?Hii ndio ile CCM yetu tuliyoitoa kwenye TANU YOUTH LEAGUE!??Hapana si hii...heri ife ili izaliwe upya
Salute mkuu barafu.

Ngoja nipite tu kimya kimya
 
scooman

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
2,905
2,000
Huyu inabidi atolewe bastola kama nape na kumrudisha Kwenye kavitz kake ili Hicho alichotataka akiongee akaongee na mkewe na watoto wake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom