NAOMBA KUULIZA:Kuna polisi akiendesha gari akagonga na aliyegongwa akafariki hakuna kilichoendelea hadi leo yupo mtaani anadunda tu kwani sheria za nchi hii ni kwa raia tu wengine.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Bw. Abdul Nondo amekamatwa na Auxilliary police wa UDSM majira ya saa tatu usiku huu chuoni hapo akiwa pamoja na baadhi ya wanafunzi wenzie.
Mkuu wa...
Wanajamvi karibuni tutoe maoni ama ushari Kama mada inavyo jieleza. Watumishi wakada ya chini wamekuwa wakikumbana na hali ngumu sana ya maisha baada yakusitaafu nadhani nikwasababu ya mabadiriko...
Mfanyabiashara wa Mirerani, Joseph Mwakipesile maarufu Chusa ametajwa tena kortini akidaiwa ndiye aliyetoa maagizo ya kuuawa kwa mfanyabiashara mwenzake, Erasto Msuya.
Mbali na kutoa maagizo...
Tanzanian military has deployed tanks in Mererani to secure Tanzanite (Photo courtesy of Issa Michuzi Instagram).
UPDATE:
JWTZ wametoa maelezo jana magari hayo ya deraya yako huko Mererani kwa...
Kama kichea cha habari husika .
Nawasalimu wote huku ndani.
Poleni Na kufungiwa Na wengine yalitupata ya kutupata.Basi tunamshukuru Mungu mana ni mwingi wa Rehema Na utukufu..
Je mwenzangu...
Kwa karibu mwezi sasa nimegundua kusafiri na daladala kutokea Gerezani kwenda Manzese, mabibo, Urafiki,Sinza hata Mwenge njia bora sasa ni kuepuka kabisa kutumia usafiri wa mwendokasi
Kama una...
Rasilimali ni neno pana lenye maana na tafsiri nyingi .sana..katika ulimwengu wa Leo .ili uweze kujikwamua kwa namna yoyote ile ..kielimu,kitamaduni ,kiuchumi na nyanja mbali mbali lazima uwe na...
Sisi sote tunafahamu ahadi mbalimbali zilizokuwa zinatolewa na Serikali ya awamu ya tatu na ya nne kuwa Kiwanda cha General Tyre kingekarabiwa na kufunguliwa ili ianze kazi na wananchi kupata...
Kuna namna nyingi za kummaliza mtu bila hata ya kumgusa mwili (physical)..
Moja wapo ni kuangalia zile sehemua aun mtu anavyopenda kwa mfano mali.biashara, mke, mchumba, watoto, elimu n.k hutumika...
Mjane wa Erasto Msuya, Mariam Mrita apandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za mauaji ya Aneth Msuya (wifi yake).
==========
Miriam Stephen Mrita (41), ambaye alikuwa...
Wakuu
Naomba Msaada Na Maelezo Yatakayonisaidia Katika Tatizo Nililonalo
Ni Hivi,Siku Ya Jumatano Nilipata Ajali(Niligongwa Na Pikipiki(Mimi nilikuwa na Gari) Pikipiki Ile Ilikuwa Site Yangu Na...
Vijana wengi wanadhaniwa kuja kupoteza ajira kutokana na agizo la Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim la kuwataka madereva wanaoendesha vyombo vya moto kuwa na leseni...
Habari wanajamvi,mimi ni mtumiaji wa kisimbuzi cha Azam kwa takribani wiki tatu sasa baadhi ya vipindi vyao haviruki hewani na ukiwauliza wanasema kuna matatizo ya kiufundi.
Badala yake...
Heshima sana wanajamvi,
Leo nimeona wacha nitoe pongezi hata kama pongezi zenyewe si za dhati
Ziara ya waziri Lugola Mkoani Arusha imeleta neema na furaha kubwa ingawa hatujui kama furaha yetu...
Naomba kufahamishwa kuhusu kiwango sahihi cha Kulipa kodi kwa Mfanyabiashara mdogo mwenye Faida (Taxable income) ya shilingi 13,232,000/=.
Naomba anaefahamu anisaidie mapema ili niweze kulipa...
Dada wa marehemu Erasto Msuya, Antuja Msuya akitoka katika chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Moshi kusikiliza kesi ya mauaji ya kaka yake baada ya kuahirishwa jana. Picha na Dionis Nyato
Kwa...
Misungwi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Misungwi leo Ijumaa Julai 27, 2018 imemhukumu kifungo cha miezi sita jela, Samwel Kawiche (24) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la uzembe uliosababisha...
Amesema Lugola akiendelea na kasi hiyo ataweza kuvaa viatu vyake alipokuwa waziri wa wizara hiyo wakati wa utawala wa Serikali ya Awamu ya Pili.
Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP)...
Kipindi nipo shule ya msingi nilisoma kitabu cha Juma na Uledi, nilipokua nikakutana na msemo "Maisha ni tofauti na hadithi za Juma na Uledi" sikuwa naelewa vizuri lakini kadri siku zinavyozidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.