Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nimewaza huu wendawazimu tunaowafanyiwa na hawa watendaji wa serikali.. Sio zaidi ya miaka miwili kulikuwa na mradi wa kutengeneza barabara ya mbezi mwisho mpaka goba..ajabu ni ile pesa...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Za asubuhi ndugu zangu ni matumaini yangu mmeamka mkiwa salama tena mko na afya njema kwa wagonjwa poleni mtapona tu.okay nisiwachoshe niende kwenye mada tajwa hapo juu Jana Sumatra wameniletea...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hello JF comrades Ni matumaini yangu mko poa pande zote of this planet Earth. Kuna jambo moja limenicost na ninaelewa ni changamoto kwa wengi pia. So kupitia platform hii naomba kufungua mjadala...
40 Reactions
79 Replies
7K Views
Heshima mbele wakuu. Katika Haya maisha Kuna mambo mengi ambayo sometimes yanatokea na tunaona kama vile 'yalitakiwa tu kuwa hivyo', like we deserve that life... Na hali hii inapelekea tuache...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
Tangu Matokeo ya Kidato cha sita yatangazwe na Jangwani Kufanya Vibaya. Na vyombo vya habari kwenda na kuhoji wanafunzi mbalibali na Walimu takribani 39 kuhamishwa. Imebainika ya kwamba,sasa...
20 Reactions
307 Replies
26K Views
Nimejiuliza sana hii kitu, naona kama wenzetu hawajui kabisa mambo ya Ulozi kwa sababu nayaona tu katika bara la Afrika na Asia. Wakuu naomba kufahamishwa ukweli bila kuhusisha Movie zao ambazo...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Chama Cha Walimu (CWT) mwezi wa nne mwaka huu kilitoa karatasi (ream paper) pieces 1,000 zenye thamani takribani milion 9 kwa RAS mkoa wa Arusha kwa ajili ya shughuli za mitihani ya mkoa. Nia...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Serikali yasitisha Shughuli za Kampuni Tatu (3) za Wakala binafsi wa huduma za ajira hapa nchini kutokana na kukiuka matakwa ya sheria ya huduma za ajira Na.9 ya mwaka 1999 na Kanuni zake. Waziri...
3 Reactions
13 Replies
9K Views
Ni magoli ya mbali lakini mchoro umeshaanza kuonekana mapema... Maisha yatakuwa murua sana Pesa nyingi itaingizwa kwenye mzunguko Vinywaji vitashushwa bei na kuuzwa kuanzia alfajiri Kodi nyingi...
10 Reactions
69 Replies
6K Views
Habarini za asubuhi watukuka wa JF Leo sijatupia mida ya wanga sikupenda kuwaogopesha wale wapendwa wangu Maajabu haya ya nywele! Usipeleke mawazo yako kwenye yale majina yake kwamba zote ni...
18 Reactions
93 Replies
13K Views
Hayo yamesemwa na Nabii Lema ambaye pia ni Mbunge wa Milele wa Arusha mjini katika Mkutano wa kampeni wa kata ya daraja mbili jijini Arusha , alipokuwa akiwakumbusha wakazi wa kata hiyo kukataa...
5 Reactions
68 Replies
7K Views
Watuhumiwa wa Kesi ya mauwaji ya mfanyabiashara wa madini, Erasto Msuya wakipelekwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro jana. Picha na Dionis Nyato. Mahakama...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
What is Freedom. Is there a „true Freedom.“ Of course it’s a bit redundant or something of a contradiction to speak of Freedom and true Freedom because the word Freedom ought to contain in itself...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Hapi amelitaka Jeshi la Polisi Kinondoni kumchukulia hatua polisi aliyetambulika kwa jina moja la James akidaiwa kuwachapa bakora na kuchukua rushwa kwa waendesha...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwa masikitiko makubwa Nimepata habari ya Msiba wa Seba Nungu. Aliyekuwa Meneja wa kinywaji Maarufu cha TBL kanda ya ziwa NZAGAMBA. Kilichotokea juzi tar.25.07.2018 RIP Seba. Wadau wa Bia wa...
4 Reactions
32 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Benard Rwanda amewataka majaji na mahakimu nchini kutumia busara, kuzingatia sheria na miiko katika kutoa haki mahakamani. Amewataka kutojaribu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mfatiliaji mzuri wa redio Magic Fm Ila ni muda sasa sijafanikiwa kuwapata hewani hapa makao makuu ya nchi pendwa Tanzania. Napata tabu kujua .je wamebadili frequencies au kuna shida ya kiufundi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hili ni kama tatizo sugu ama 'donda ndugu' ! Tuna maji ya kutosha.Ardhi yenye rutuba ndo usiseme. Kila kitu kipo kasoro tu tuhela tudogo twa kulipa nyapara huko shambani. Yaani mtu anakubali...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
ni huyu huyu ibilisi shetani tunayefanya naye kolabo nyingi tu kuanzia kwenye simu zetu, yale mambo ya ajabu ajabu tuliyoyahifadhi tena sometimes kwa kuhofia kuonwa na watoto au wenzi wetu nk...
11 Reactions
55 Replies
9K Views
Back
Top Bottom