Tukio la jana la kupatwa kwa mwezi ni ushahidi mwingine kuwa Mungu yupo?

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,075
1,423
Wakuu habari za saa hizi,

Kwa kifupi ni kwamba Leo katika kupitia pitia maandiko nikajikuta nafunua ukurasa huu Wa Biblia nikabaki nashangaa.

Nafikiri wengi wetu tuliona lile tukio la Jana la "kupatwa kwa mwezi" ambalo lilitafsiriwa kama Mwezi Wa damu.

Je haya maandiko yanaashiria Nini katika kipindi hiki? Soma mstari Wa 31.

IMG_20180728_132516.jpg
 
Mkuu nilishawahi kukomenti humu hizi ishara zinazotokea kwenye jua na mwezi kuna siku zitakuja ambatana na matukio makubwa ya kuanza kutimia kwa unabii juu ya dunia, ni swala la muda tu. Nikashauri tujitahidi kuomba na kujiepusha na maovu kwa sababu haya mambo hayapo mbali
 
Kwa wale al muslimeen wenzangu watakubali kabisa kuwa mwisho wa dunia huambatana na viashiria kadha wa kadha ikiwemo hii ya lunar/solar eclipse na matukio mengine. Wanyama(hayawani) ndo huwa wa kwanza kutambua siku hii. Ndo maana ikitokea tukio kama la jana, huwa kuna sala maalum hufanywa misikitini. Kikubwa zaidi ni kuwa qiyama kitatokea siku ya ALJUMAA. Jana ilikuwa Ijumaa.
Allah huwa ha beep. Tujipange wandugu zangu wote(pagani included)
 
Kwel kbsa
 
Jana mimi wala sikuwa na furaha kama watu walivyokuwa wanashabikia kwasababu najua katika ulimwengu wa roho kuna kitu kimefanyika.

Siku ile iko karibu sana.
 
nimeamka nikakuta nilitumiwa sms hii ila sikuiona mapema!
Sio siri hili suala la kupatwa kwa mwezi sio kitu kidogo kama tunavyoweza kudhani
IMG_20180728_191502_478.JPG
 
Kaka unaweza kuwa na PDF link ya kitabu cha huyu jamaa..A Brief History of Tommorow?

Cha kwanza "Sapiens: A Brief History of Humankind" kipo kama PDF online hapa

Cha pili "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow" kipo kama PDF online hapa

Nimevisoma vyote. Kuna sababu muhimu mpaka Obama anavifagilia hivi vitabu.

Watu wangekuwa wanasoma na tunajadili kwa hoja, ingependeza zaidi.

Lakini utajadiliana nini kuhusu hivi vitabu na mtu ambaye - si wote wako hivi, lakini ni wengi tu- siyo tu hajui hata Kiingereza, bali pia ana conspiracy theories kibao na kukataa habari za kusoma vitabu kabisa?
 
Last edited:
Cha kwanza "Sapiens: A Brief History of Humankind" kipo kama PDF online hapa

Cha pili "Home Deus: A Brief History of Tomorrow" kipo kama PDF online hapa

Nimevisoma vyote. Kuna sababu muhimu mpaka Obama anavifagilia hivi vitabu.

Wwatu wangekuwa wanasoma na tunajadili kwa hoja, ingependeza zaidi.

Alafu kaka kuna Kitabu kimoja uliwahitupia humu kwenye uzi mmoja hivi..Muandishi wake nakumbuka jina moja tu la Harvey..kinahusu mambo ya Kuinvest tafadhali naomba kama nacho una link namna ya kukipata...
 
Cha kwanza "Sapiens: A Brief History of Humankind" kipo kama PDF online hapa

Cha pili "Home Deus: A Brief History of Tomorrow" kipo kama PDF online hapa

Nimevisoma vyote. Kuna sababu muhimu mpaka Obama anavifagilia hivi vitabu.

Wwatu wangekuwa wanasoma na tunajadili kwa hoja, ingependeza zaidi.

Lakini utajadiliana nini kuhusu hivi vitabu na mtu ambaye - si wote wako hivi, lakini ni wengi tu- siyo tu hajui hata Kiingereza, bali pia ana conspiracy theories kibao na kukataa habari za kusoma vitabu kabisa?
Kweli kaka...nimekuwa napatashida sana kujadili mada mbalimbali na watu wasiosoma vitabu sababu upeo wetu katika baadhi ya mambo unakuwa mdogo sana...unaweza ukawaeleza kitu watu wanabaki mdomo wazi na kibaya zaidi wasipokee kama ni taarifa mpya kwao unazowapa zenye manufaa na kinyume chake wanaendelea kubisha tuu! Kusema ukweli tangu nilipoanza tabia ya kuchungulichungulia vitabu nimejiona mtu aliebadilika sana kimtazamo na uchambuzi wa mambo.
 
Back
Top Bottom