Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

It will always be a mystery that the people at the top use the people at the bottom to reach the top and to maintain their stay. The people at the top never want people at the bottom to be equal...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimefuatilia hii issue ya Jiji la Dodoma kulishinda hili la Dar nikajiuliza mengi, kulikoni? Lakini nikakumbuka mwaka juzi ilitoka tathmini ya athari za foleni kwamba foleni Dar kwa siku...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu,naitaji kwenda tabora sikonge kilumbi,natokea mwanza na gari ndogo ya chini kidogo,naomba kufaham nikiingilia nzega tabora na nikipitia singida wapi mbali?na ninjia gani rafiki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujua ni reliable kiasi gani... Sjawahi tumia hii kitu, nna safari ambayo ntajitahidi kuja kuchukuliwa na taxi kutoka kitunda hadi ubungo terminal asubuhi sana.. Je naweza kuiamini uber kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Sina ubaya wowote, kinyongo na wala sifahamiani na Salum Mkambala wa Magic FM. Lakini nimeshindwa kujizuia kusema kuwa huyu bwana ananikwaza saana nikiwa nafuatilia mijadala mbalimbali katika...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari zenu. Kwa kweli sina imani na mambo yoyote ila hii kitu inanipa utata. Leo ni siku ya tatu ndani ya wiki Kunguru ananinyea nikipita kwenye barabara yenye miti na yenye nyaya juu. Yaani...
0 Reactions
83 Replies
14K Views
My bad! Wananzengo hemnisaideni jinsi ya kufanya ili NYUZI zangu zisi take off Naona na loose gravity every now and then nikidondosha NYUZI humu. Kuna hawa wa kuwaita Modis aise wana enjoy sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu wanne wamefariki dunia watatu wakiwa ni wa familia katika ajali iliyohusisha gari na pikipiki. Akizunguma na wanahabari leo Agosti 2, Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma Gilles Muroto, amesema...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Siku za hivi karibuni Azam Tv wamekuwa hawarushi taarifa ya habari ya saa mbili usiku kwa kisingizio kuwa ni sababu zilizo nje ya uwezo wao. Lakini baadae wameanza kutwambia wateja wao tuingalie...
4 Reactions
140 Replies
29K Views
Naanzaje kujali ukumbi au shamba ilhali kila mwezi nadaka milioni 50?! Kisiasa milioni 50 ni zaidi ya ukumbi na shamba.Bora enyi wanasiasa wenzangu mnifukuze kwenye ukumbi na mvunje shamba langu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari,, kama wewe ni mdau w Kilimo kwa namna moja au nyingine yaani kuanzia kwa mkulima mfanyabiashara wa mazao, pembejeo , Dawa ,Mbegu nk. Sasa unaweza kuwafikia Wateja na walengwa wako kupitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wadau.. nimekumbuka zama za JK tulivyooneshwa mapicha picha ya mwendo kasi kabla hazijajengwa na ma bus kuja tumeona uhalisia.. tofauti huduma tuliyooneshwa pichani na uhalisia...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Raisi wa TCCIA bwana Octavian Mshiu akizungumza na waandishi wa habari Chama cha wafanyabiashara,viwanda na kilimo Tanzania ( TCCIA ) leo kimefanya mkutano na wanahabari katika ofisi zake jijini...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nafkr mambo yanayoendelea ya wabunge na madiwani kuachia nyadhifa zao kisa tu kuwa na mahaba na mkuu wa kaya inabidi ujiulize!! Ni kweli ni haki kikatiba mtu anao uhuru wa kuhamia chama chochote...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Hii hoja si ngeni, imeongelewa sana hapa nchini wageni wanakuja kupora fursa zetu. ukweli ni kwamba Dunia ya sasa watu ni dynamics - watu wanaingiliana katika masuala mengi sana, kwa hiyo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kada wa CCM Mwita Waitara amesema ilani ya CCM imeonyesha dhamira ya dhati ya kutekeleza kwa vitendo ahadi inazozitoa katika kuwaletea maendeleo Watanzania. Akizungumza leo Agosti 2 kwenye kijiji...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
BAADHI ya wakazi wa kijiji cha Muhalala katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida wameiomba serikali kutunga sheria kali itakayowadhibiti wanaume wanaokataa kuambatana na wake zao...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Serikali imesema inajiandaa kuja na mbinu za kisasa zaidi za ukaguzi na ulinzi katika ukuta unaozunguka migodi ya Tanzanite, Mirerani ili kudhibiti utoroshaji wa madini hayo yanayopatikana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesikitika kusikia eti wafanya biashara wanaiomba serikali iruhusu uingizwaji wa nyama ya kuku toka nje. Sikubaliani na wazo hilo la kuendeleza uvivu. Watanzania tumekuwa wavivu sana...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo katika harakati zangu za hapa na pale kutafuta riziki nimeiona hii acha nishee nanyi kama itawapendeza pia. Daladala la Bagamoyo to Tegeta kondakta yuke kajisahau kunitoza nauli nami nikaamua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…