BENKI KUYUMBA NCHINI!

BENKI KUYUMBA NCHINI!

Jehujehu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2018
Posts
224
Reaction score
213
ni swali tu kwa wale watabe wa financial economy hebu tufahamisheni benki nyingi kuyumba nchini imaletwa na nn na inamaana gani kiuchumi, yaani imatoa picha gani kiuchumi?
 
Ni funzo kuwa next time bank zisitegemee ufisadi kujijenga...
#masandarusi
 
Secta binafsi inatakiwa zife zote
kama zilikuwa kwa kuiibia Serikali sasa ni zamu yao kufa.
Nyerere alituachia nchi yenye neema na hao wanaojiita sekta binafsi wakakwapua mali ya umma.
 
we kila mada humu umepata muda wa kuishiriki?
 
afterlaw ungekuwa na akili ungeelewa kuwa mm nimechokoza tu ili watu waelekeze maoni yao juu ya eneo hilo linalohusika kwa sasa ,
 
ni swali tu kwa wale watabe wa financial economy hebu tufahamisheni benki nyingi kuyumba nchini imaletwa na nn na inamaana gani kiuchumi, yaani imatoa picha gani kiuchumi?
Kabla ya kuchambua na declare kabisa kuwa nina masters ya uchumi

Haya twende sasa

Hiyo inamana kuwa uchumi wa nchi unakuwa kwa kasi sasa hizo benki zinashindwa kuendana na kasi ya ukuaji wa uchumi ndo zinaamua kuachia ngazi pia ni wapiga dili

Umeelewa sasa
 
Umesema vyema mwanafunzi wangu.
 
Kabla ya kuchambua na declare kabisa kuwa nina masters ya uchumi

Haya twende sasa

Hiyo inamana kuwa uchumi wa nchi unakuwa kwa kasi sasa hizo benki zinashindwa kuendana na kasi ya ukuaji wa uchumi ndo zinaamua kuachia ngazi pia ni wapiga dili

Umeelewa sasa
noted mkuu.
 
Siyo benki tu sema hata sisi wananchi madishi yameyumba.
 
Back
Top Bottom