Mimi kama mdau wa media na mtu ambaye napenda kusikiliza redio wakati nipo free kufanya hivyo naandika haya yafuatayo kuhusiana na kudorora kwa East Africa Redio ya mzee R.Mengi..
Uwepo wa...
*TUMIA DAKIKA 3 KUSOMA HII*
Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana. Mara akakutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift.
Ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea...
Habari wadau wa jukwaa hili
Nina shida ya kuonana na Hoyce Temu, ninahitaji kufahamu je kipindi chake cha Mimi na Tanzania kinaendelea?
Je ofisi zake ziko wapi? Naomba kuelekezwa au hata mwenye...
Habari za jumapili ya leo wapendwa wanaJamiiForums.
Leo katika kanisa la Kiinjili la kiluteri Tanzania, Singida Usharika wa Emanueli (msalaba mrefu)
Nimetokea kupenda kauli ya msaidizi wa...
WANANCHI karibu na eneo la ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa Mto Rufi ji, Stiegler’s Gorge wameanza kunufaika na ajira kwenye mradi huo hata kabla ya kuanza rasmi kwa utekelezaji wake.
Mradi huo...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema kuwa unaendelea kuboresha mafao yake na kupanua wigo wa wanachama ili kuwafikia wananchi wengi kupitia makundi mbalimbali wakiwemo wakulima.
Meneja...
Habari za muda huu wa JF ,binafsi nimeona watangazaji wengi wa kike lakini huyu amenikosha kabisa huwa anatangaza taarifa ya Habari ITV kwa jina anaitwa Farhia Middle ,yaani huyu dada anavyoongea...
BENKI ya NBC inatarajia kutoa mikopo kwa wakulima, wavuvi na wafugaji ikiwa ni hatua ya kuwekeza katika maendeleo ya wananchi.
Akizungumza na waandishi kwenye banda la benki hiyo katika maonesho...
Naomba kupata ufafanuzia kuhusu jina la huyu waziri mkuu wetu mchapa kazi mzalendo ni lipi kati ya hayo? Nime sikia kwenye habari wana muita Khasim Majaliwa Majaliwa na mimi nilikua najua ni...
Naomba niwe wa Kwanza kuanza kukupa ' Pongezi ' zangu za dhati kabisa kwani najua very soon unaenda kutoka kuwa ' Mswahili ' wa Jangwani na kwenda kuwa ' Mtawala ' mstaarabu. Naamini sasa ile...
Wakuu,
Binafsi ni survivor wa mambo mengi, nimekuwa kibingwa na kwa kujichunga mwenyewe, kiasi kwamba wengi sana wamenikosea maishani; kuniibia, kunidhurumu, etc na wengi nawafahamu kabisa na...
Habar wakuu! mimi ni muumini wa dhehebu la katoliki, kumekuwa na simtofaham baina ya sisi wakatoliki kuhusu nafas ya pengo katika baraza la maaskofu tanzania! jana nilikuwa nabishana na jamaa...
kila siku iendayo Kwa mungu mwenzenu naiota ota mahakama ya kimataifa pale the Hague pia namuota ota mwanamama fatou bensouda
hata hivyo nimegundua hii ndoto ni kama nyingine tu kwahiyo...
Wakati nipo chuo nasoma shahada ya utawala niliwai kumwomba lecturer wa somo ruhusa ili niudhurie ugeni toka Dsm,mama yule alinijibu "Unapoteza muda CCm hawawezi kukupa chochote hivyo vyeo...
MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu (DUCE), amejibu maswali ya mtihani kwa kutumia lugha ya Kiswahili licha ya mtihani husika kuelekeza majibu ya Kiingereza, jambo ambalo limewaweka...
Yametoka majina juzi ya ajira mpya za afya. Vijana wameripoti , sasa wemerudishwa eti mpaka hela zitoke. Ni kweli au ndiyo gheresha? Tunaomba mwenye kujua atupe ufafanuzi
Hii picha Masoud Kipanya aliichora mwaka 2015, miaka mitatu baadaye Wachina wametoa aina hii mpya ya Bajaji, Je wao ndiyo wameiba wazo la Masoud, na kama wameiba wazo hili Masoud haoni umuhimu wa...
Shirika la Umeme Nchini(Tanesco) limesitisha huduma ya umeme kwa baadhi ya taasisi za Serikali zilizopo mkoani Kilimanjaro baada ya malimbikizo ya deni kufika kiasi cha shilingi bilioni tatu...