Ajira za wizara ya Afya

Ajira za wizara ya Afya

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,959
Reaction score
104,313
Yametoka majina juzi ya ajira mpya za afya. Vijana wameripoti , sasa wemerudishwa eti mpaka hela zitoke. Ni kweli au ndiyo gheresha? Tunaomba mwenye kujua atupe ufafanuzi
 
Yametoka majina juzi ya ajira mpya za afya. Vijana wameripoti , sasa wemerudishwa eti mpaka hela zitoke. Ni kweli au ndiyo gheresha? Tunaomba mwenye kujua atupe ufafanuzi
Hela za nn. Wamepewa week mbili warudi nyumban baada ya kureport
 
N wiki mbili tu.though kuna wengine wakuu wa vituo wana roho nzuri wanasema mkwanja ukiingia uje
 
Inshu kubwa ni mifumo ya kifedha haiajafunguliwa..hata hela ya kujikimu hawajapatiwa..ndo mana wamepewa ruhusa kurudi ma kwao mpka mambo yakae poa..
 
Back
Top Bottom