Gideone
JF-Expert Member
- Dec 27, 2017
- 522
- 715
Salama Jamvini, Nianze kueleza Juu ya tukio la kulipuka kwa Bomu Ktk High tables alipokuwepo Rais wa Zimbabwe Emmerson mnanangwa Mimi tukio lile naita ni Uzembe wa Electronic Warfare Team iliyoambatana Na Rais mnanangwa kama ume notice Bomu lile limetumia networks kuwalipuka yani ni remote bomb,
Si salama Mita Kumi pande zote Kutokea alipo Rais kuwa na Coverage yoyote ya mtandao najua Kunafanyika Sweeping ya hali ya juu lakini sio salama kuwaamini hao wanaofanya sweeping, Kitendo cha network kuwepo basi kinaweza kufanya maafa ya kulipua mabomu au chochote remotely , Ni Muhimu tu block network covarage walau ya mita kumi au zaidi kutokea alipo Rais kwa kutumia JAMMERS devices, mana kama ile High table ya mnanangwa ingekuwa na Jammers basi ule mlipuko usingewezekana mana jammers zinge block signal inakuaje High table inakuwa na Network hata motorcade inapaswa kuwa na Gari zilizobeba jammers kwa ajili ya kublock network coverage, Sitegemei kumuona mtu Yoyote au Rais kutumia Simu either kwenye High table labda tu kwa dharura baada ya ku request View attachment 826090