CCM na ushindi wa Mezani

CCM na ushindi wa Mezani

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
6,965
Reaction score
12,556
Mimi sio mtu wa politics sana ila imefika kipindi ili CCM ishinde lazima fomu ya mpinzani iwe feki au ina mhuri feki au imesainiwa na mtu asie Mhusika, sasa Tujiulize swali la msingi, KWELI MTU ANATAKA KUGOMBEA NA ANAJUA ATAGOMBEA MIEZI MINGI SANA KABLA YA UVHAGUZI ATACHUKUA FOMU FEKI KWELI ?

Alafu kwasababu wanasema kuna democrasia na wanaifuata KWANINI TUSIMTAFUTE ALOTOA FOMU FEKI NA ALOPIGA SAHIHI FEKI TUPAMBANE NAE MANAKE NDIO ANAEHARIBU ? narudia tena ILI CCM Ishinde LAZIMA MPINZANI AWE FEKI kwa namna yeyote ILE....
 
Last edited by a moderator:
Mimi sio mtu wa politics sana ila imefika kipindi ili CCM ishinde lazima fomu ya mpinzani iwe feki au ina mhuri feki au imesainiwa na mtu asie Mhusika, sasa Tujiulize swali la msingi, KWELI MTU ANATAKA KUGOMBEA NA ANAJUA ATAGOMBEA MIEZI MINGI SANA KABLA YA UVHAGUZI ATACHUKUA FOMU FEKI KWELI ? Alafu kwasababu wanasema kuna democrasia na wanaifuata KWANINI TUSIMTAFUTE ALOTOA FOMU FEKI NA ALOPIGA SAHIHI FEKI TUPAMBANE NAE MANAKE NDIO ANAEHARIBU ? narudia tena ILI CCM Ishinde LAZIMA MPINZANI AWE FEKI kwa namna yeyote ILE....
Ni kweli kwamba wagombea na viongozi wa vyama huwa hawana elimu juu kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi hadi waboronge taratibu za kuchukua na kuwasilisha fomu za kugombea? Kama kuna wagombea feki na fomu feki, basi ina maana kwamba wapinzani hawako makini na kwa maana hiyo, hakuna wapinzani!
 
Kweli kabisa maana yake watu wote hawako makini, fomu feki na sahihi feki zinatoka wapi ? alafu kinachoshangaza hivi vitu haviwatokei CCM hata siku moja...why ??
 
Mimi sio mtu wa politics sana ila imefika kipindi ili CCM ishinde lazima fomu ya mpinzani iwe feki au ina mhuri feki au imesainiwa na mtu asie Mhusika, sasa Tujiulize swali la msingi, KWELI MTU ANATAKA KUGOMBEA NA ANAJUA ATAGOMBEA MIEZI MINGI SANA KABLA YA UVHAGUZI ATACHUKUA FOMU FEKI KWELI ?

Alafu kwasababu wanasema kuna democrasia na wanaifuata KWANINI TUSIMTAFUTE ALOTOA FOMU FEKI NA ALOPIGA SAHIHI FEKI TUPAMBANE NAE MANAKE NDIO ANAEHARIBU ? narudia tena ILI CCM Ishinde LAZIMA MPINZANI AWE FEKI kwa namna yeyote ILE....
Wagombea ndiyo feki.
Wanakuwa ni mamluki, wanafekisha mambo kwa makusudi ili walalamike baadaye ili kuonekana kama wametendewa ndivyo sivyo, kumbe sivyo. Njaa ni kitu kibaya sana.
 
Uko sahihi....
 
Mimi ni mwana CCM ila kuna mambo kidogo hayahiyaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kuyan'gamua ok sawa wapinzani wamekosea kujaza fomu! Inamaana hawa wa kwetu hawakosei kujaza fomu hata siku moja? Sijui ila kwa mtazamo wangu hili halijakaa vema,tukumbuke wa TZ sio wakuwachukulia poa kiasi hicho! Kama nimekosea naomba kurekebishwa kwa hoja
 
Aloo umeongea kwa hisia sana na kwahekima sana, ingekuwa fea wangeweka sheria ya uchaguzi kutofanyika kama jambo la mgombea mmoja halijakamilika, ila waende wakapambane sasa manbo yakienda hivi nan ataleta changamoto ? hii nchi inaelekea pambaya na wanaoipeleka pabaya ni watu washajizeekea watakufa watatuacha wenyewe tunapigana mapanga wao hawajali...kuna viongozi hii nchi ni very selfish
 
CCM HAINA HISTORIA YA KUSHINDA....HIVI KARIBUNI IMEJIZOLEA UMAARUFU KWA UKWAPUAJI WA USHINDI WA WENGINE.!!

Kitu kibaya kuliko vyote ni RAIA wanajua na wanajua kwamba wakiropoka POLISI WANAWAHUSU...hili ndio baya kuliko ubaya WENYEWE
 
Wagombea ndiyo feki.
Wanakuwa ni mamluki, wanafekisha mambo kwa makusudi ili walalamike baadaye ili kuonekana kama wametendewa ndivyo sivyo, kumbe sivyo. Njaa ni kitu kibaya sana.

upande mmoja tu ndio always unakuwa fake...ebu shirikisha ubongo kidogo...au fikiria kwa kina
 
Ni kweli kwamba wagombea na viongozi wa vyama huwa hawana elimu juu kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi hadi waboronge taratibu za kuchukua na kuwasilisha fomu za kugombea? Kama kuna wagombea feki na fomu feki, basi ina maana kwamba wapinzani hawako makini na kwa maana hiyo, hakuna wapinzani!
Amini usiamini, unajidanganya. Hauwajui CCM au unazuga tu.
 
Ni kweli kwamba wagombea na viongozi wa vyama huwa hawana elimu juu kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi hadi waboronge taratibu za kuchukua na kuwasilisha fomu za kugombea? Kama kuna wagombea feki na fomu feki, basi ina maana kwamba wapinzani hawako makini na kwa maana hiyo, hakuna wapinzani!
Kwaiyo tupeleke Sheria bungeni kufuta mfumo wa vyama vingi maana hatuna wapinzani kwa mujibu wa maelezo yako...maana Ni ufujaji wa pesa, kwani Ni kazi ya Nani kufundisha kanuni taratibu na Sheria kwa wapinzani!!!?
 
Ukifutwa hali itakuwa mbaya zaidi akitokea dikteta.
 
Nilimuuliza kwa kumtega....we na upinzani wote huu uliopo Hali Ni ngumu hivi je kungekuwa na utawala wa chama kimoja ingekuwaje!!?
 
Ni kweli kwamba wagombea na viongozi wa vyama huwa hawana elimu juu kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi hadi waboronge taratibu za kuchukua na kuwasilisha fomu za kugombea? Kama kuna wagombea feki na fomu feki, basi ina maana kwamba wapinzani hawako makini na kwa maana hiyo, hakuna wapinzani!

KIONGOZI ULISHAWAH KUJIULIZA KWANINI INATOKEA UPANDE MMOJA TU ? ebu shirikisha ubongo...
 
Kwaiyo tupeleke Sheria bungeni kufuta mfumo wa vyama vingi maana hatuna wapinzani kwa mujibu wa maelezo yako...maana Ni ufujaji wa pesa, kwani Ni kazi ya Nani kufundisha kanuni taratibu na Sheria kwa wapinzani!!!?
Mtakavyoona inafaa. Kama hamko tayari kujifunza (sio kufundishwa) basi mtajiju! Hata hivyo hamna haja ya kufuta sheria ya vyama vingi kwani sio lazima washike hatamu leo au kesho. Iendelee kuwepo kuwasubiri wajikongoje!
 
Back
Top Bottom