Miongoni mwa picha zilizobeba mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii siku ya leo ni picha inayomuonesha Afisa wa Ngazi ya Juu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akimpigia saluti...
Mimi ni Mstaafu na ninapata Pensheni yangu kupitia LAPF lakini hadi leo sijapata pensheni yangu licha ya kwenda Benki kufuatilia. Inawezekana wakati wa kuunganisha Mifuko hii na kuwa mfuko mmoja...
Habari... ni muda mrefu sasa sioni matangazo ya hawa jamaa... ikumbukwe kuwa hata Jf walikuwa wanatumia sana matangazo ya Pinpoint. Website yao pia haipo hewani na ile nafasi ya tangazo lao hapa...
Nimeona hii toka juzi, jana na leo. Itv sasa hivi wana kautaratibi kao kapya wakati wa habari. Ule muda wa kusoma muhtasari kabla ya habari, mtangazaji anakuwa kasimama mbele ya ile meza au ile...
Kila kukicha shillingi ya Tanzania inaporomoka dhidi ya dollar ya Kmarekani na hii inapelekea bidhaa nyingi zinaoagizwa toka nje kupanda bei. Leo hii kwa kiwango cha ubadilishaji wa BOT ni...
Hakuna kitu kibaya kwenye hii nchi kwa sasa kama kudharau watumishi wa umma
Tangu serikali yako imeengia madarakani watumishi wa umma tumekuwa na hali ngumu kupindukia na hali hii imesababishwa...
Ndugu zangu naandika haya baada ya kuchukua hatua ya kuwafuata DUWASA na kuwapa maoni yangu kwa nia njema ila naona wanajifanya "hawaelewi".
Kama zilivyo idara nyingine za serikali,DUWASA...
Habari ndugu wana JF. Natumai mwaendelea na harakati za kuisaka riziki ya kila siku.
Kama kichwa kinavyosomeka, natafuta wateja wa asali ya nyuki wakubwa wanaoweza kuchukua kwa bei za jumla hapa...
Habari wanajamii forun.Nilikuwa naomba kujuzwa kiundani kuhusu haya mambo
1.Lugha rasmi ya ethiopia ni ipi
2.Maandishi yao yanatofauti gani na ya kwetu
3.Ethiopian Orthodox wanaamini nini hasa.Ni...
Kwanza nitoe pole kwa wizara na kwa wadau wa utalii kwa ujumla kwa tukio la ajali lililotokea. MUNGU NIMWEMA ATALETA FARAJA KWA PANDE ZOTE.
Nielekee kwenye hoja.
Mh.Naibu waziri wa utalii...
Viongozi Wa nchi yangu, Ukiona maneno yamekuzidi uwezo wa kustahimili Kaa kimya au M-block tu huyo mtu, na sio kupelekana kusikojulikana na kupeana sifa mbaya tu za matumizi mabaya ya madaraka...
UJUMBE WA LEO
Wafilipi:3.12
"Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu."...
Tunashuhudia Waziri anajibiwa kwa kejeli na maafisa wadogo kabisa kwasababu mambo mengi anayaendea kwa pupa. Tatizo linazidi kuwa kubwa anapotaka kulazimisha awe na madaraka ya kutoa amri hata kwa...
HABARI WADAU KITAMBO SANA SIJAPOST NAISHIA KUSOMA TU POINT LEO NITAJIKITA KATIKA FANI YANGU YA ZAMANI BE4 SIJABADILISHA
UMEME NI MUHIMU SANA KATIKA NYUMBA.,,,ILA UKIFANYA UZEMBE UTAKUANGAMIZA...
Kwanza nipende kutumia hii fursa kuwapa pole wafiwa na kulaani kilichotokea.
Kila mtu anamtupia lawama muuaji japo kweli yeye ndo wa kwanza kulaumiwa lakini hii triangle ya marehemu, muuaji na...
Rejea kichwa cha Mada tajwa hapo juu.
Miaka kadhaa nimekua nikipata huduma ya kunyoa Nywele kwenye Hivi vi Saluni vya mtaani "hair cutz saluni" kwa gharama nafuu Kabisa, buku 1 tu na ninapendeza...
Hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa vijiji vya Misasi, Isakamawe na Mabuki wilayani Misungwi mkoani Mwanza baada ya maiti za wanawake wanne kuonekana huku zikiwa hazina baadhi ya viungo.
Miili...
Ninafikiri karama kubwa kuliko zote ambazo Mungu aliwahi kumpa mwanadamu siyo karama ya macho bali ni karama ya maono. Kuona ni kazi ya macho bali maono ni kazi ya moyo” (“I think the greatest...
Wakuu kwema? Jamani natafuta mtu anayesafisha swimming pools kwa dar. Kuna mahali anatakiwa urgently kidogo. Kama unamjua ni contact nae tafadhali.
Mungu awabariki sana
Mwenye uelewa naomba anijuze juu ya malengo na madhumuni ya uanzishwaji na uwepo wa Baraza la Sanaa Tanzania - BASATA. Kuna vitu sivielewi. Kuna mengi yamejitokeza hivi karibuni yahusuyo BASATA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.