TABIA YA KUJIDHARAU HADI LINI?

TABIA YA KUJIDHARAU HADI LINI?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Wabongo tuache tabia ya kujidharau ... ona hii mifano..

Kuku mkubwa / mnene - wa kizungu - mwembamba wa kienyeji
Kila kinachoonekana kuwa kizuri eti cha kizungu ..
Mbona yale mainzi makubwa hamusemi ni ya kizungu? Hayo mnasema eti ni ya chooni.

Kuna siri hapo ... lishe tu. Inzi wa chooni anapata lishe anayoihitaji muda wote ndo maana anakuwa mkubwa zaidi ya inzi asiyekuwa wa chooni. Vivyo hivyo chochote kila kikipatiwa mahitaji sitahiki kitanona tu. Hakuna cha kizungu wala kienyeji.

Ni hayo tu, niwatakie Ijumaa njema.
 
mlenda wa kizungu ukoje huo mkuu
Mlenda wa Kizungu.
images.jpeg
 
Ni kweli mkuu
Mke akiwa na tabia nzuri anaitwa mzungu ( utaskia mtu anasema mke wangu mzungu)
Akiwa mkorofi anakua mswaili
 
Back
Top Bottom