Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,151
- 5,025
tunawashukuru kwa taarifa nzuri sana ya habari wakati wa saa mbili usiku.
shida yangu kubwa inapofika kipindi cha michezo kuna yule bondia mzungu kila siku anampiga mwafrika hii kwangu huwa inaniumiza. kwa nini isionyeshwe pia yule mwafrika naye kampiga mzungu?
inaleta maumivu kwawa sisi ni watu wa kushindwa tu.
ni mawazo yangu na nionavyo.