Kwa nini Chatu anajifanya anajua sana kubana Wanyama?

Ndivyo alivyoumbwa, hana sumu anakubana unashindwa kupumua, unadedi anakumeza.
 
Mkuu ukitaka kumchinja kuku si unabidi utumie mikono ili upate kitoweo,sasa chatu hana mikono na huko kuvingirisha mawindo yake ndiyo njia sahihi kwake kujipatia kitoweo chake.
 
Nalichukia hili linyoka, nimeona filamu limembana chui mpaka ulimi wote nje, limemeza mtu huko Indonesia hivyo hivyo limembana mbavu na kumbugia, nalichukia hili dudu, arggghhh!
Kumbe ni filam! Maana chatu hana uwezo wa kumbana chui au puma
 
ila pia uwezo wao wa kufikiri sio mkubwa sana,
kuna kisa kimoja nilipata kukisoma mahali:

nyoka aina ya chatu aliingia kwenye store ya vifaa kwa bahati mbaya akajikwaruza kwenye msumeno....kwa akili zake akahisi msumeno umemshambulia hivyo akatumia hiyo mbinu yake kwa kuubana ule msumeno bila kujua nguvu anazotumia kubana ndio hizo zinatumika kumkata na kumuangamiza,

hatimae hadi alikufa pale chini akiwa ameubana na kuung'ata msumeno.
 
Nalichukia hili linyoka, nimeona filamu limembana chui mpaka ulimi wote nje, limemeza mtu huko Indonesia hivyo hivyo limembana mbavu na kumbugia, nalichukia hili dudu, arggghhh!

Kwanini Polisi wanajifanya wanajua sana kukamata Wahalifu?
 
Nalichukia hili linyoka, nimeona filamu limembana chui mpaka ulimi wote nje, limemeza mtu huko Indonesia hivyo hivyo limembana mbavu na kumbugia, nalichukia hili dudu, arggghhh!
Mku
Nalichukia hili linyoka, nimeona filamu limembana chui mpaka ulimi wote nje, limemeza mtu huko Indonesia hivyo hivyo limembana mbavu na kumbugia, nalichukia hili dudu, arggghhh!
Mkuu wewe umewaona boor constrictors ndio namna yao ya kupata chakula hawana tofauti na wewe mwana ccm mnaminya demokrasia mnawiri nyie kwahiyo usimuonee chatu anza na liccm lako ndio chatu halisi hebu mtapikeni bs8
k
 
Nalichukia hili linyoka, nimeona filamu limembana chui mpaka ulimi wote nje, limemeza mtu huko Indonesia hivyo hivyo limembana mbavu na kumbugia, nalichukia hili dudu, arggghhh!
Leta link na sisi tuangalie au tutajie jina la movie
 
Hata mimi naona uwezo wa Wabongo kutumia fasihi unavyokua.

Chatu J huyu atakuwa
Mkuu kiranga huyu Barbarossa ni ccm kindakindaki wala hajatumia fasihi ni matukio ya kweli aliyozungumzia na chatu wsmemeza kweli watu kule mindanao Philippines nimekaa Kule miaka 2 na Dr mihanjo wa ccm
 
kabana upinnzani sasa kaanza kumeza wa chamani rejea yanayowakuta wanaojiita matajiri...
 
Mkuu kiranga huyu Barbarossa ni ccm kindakindaki wala hajatumia fasihi ni matukio ya kweli aliyozungumzia na chatu wsmemeza kweli watu kule mindanao Philippines nimekaa Kule miaka 2 na Dr mihanjo wa ccm
Ujue fasihi uzuri wake inaweza kuchukua ubongo wako hata kama weweni CCM ukajikuta umemrushia dongo mwenyekiti wako bila kujijua.

Hiyo inaitwa serendipitous literature

Mwenyekiti wako anafanya mambo kama mnyama.

Wewe unaangalia wanyama.

Unawasema wanyama.

Lakini, bila kujijua umemsema mpaka mwenyekiti wako, tena kwa jina linalofanana na kwao!

Kwa tabia zile zile. Za kupenda kubana wenzie mbavu.
 
Back
Top Bottom