Asante mkuu kwa kunijuzaQuora, Hii ipo vyema nimejifunza Mambo mengi kupitia Quora.
-Andromeda galaxy,black holes.
-Faida za kusoma vitabu.
-Capitalism vs socialism vs Communism.
-Drug's addiction.
Jaribu kuipitia inaweza kukupa mwanga mzuri.
Pamoja Mkuu,..Asante mkuu kwa kunijuza
Aisee Safi sana kama unaifahamu Quora..Quora mkuu ipo vzur sana naikubal mno ...iliondoa arosto zangj za jf sana kipind imefungwa