Baridi Linaloendelea Tanzania

Baridi Linaloendelea Tanzania

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
6,965
Reaction score
12,556
Kama watu wa dar mbadhan kuna barid basi angalia kitu wanachoexperience wana Makete na Iringa...huo mkoa haujawah kuwa na mpinzani...ni balaaa
IMG_1895.JPG
 
mimi nko dar nimefunga hata kabishara changu cha mabarafu ice cream ni hasara wanaume wa Dar wanaogopa ngiri

Amu yan dar eti tunajidanganya kuna barid ebu chek njombe yan kama mtu yupo ndani ya fridge...eti wanaogopa ngiri ahahahaha
 
Amu yan dar eti tunajidanganya kuna barid ebu chek njombe yan kama mtu yupo ndani ya fridge...eti wanaogopa ngiri ahahahaha
aaaa huko watakufa hawa, imagine mauzo yamepungua hata hela ya umeme hairudi kwa siku,aaaa nimejipumzikia mie wauza juice za miwa nao hali tia maji tia maji,ukienda dukani kwa mangi ukiagizia ppsi baridi wanakushangaa mijanaume eti huogopi baridi nawajibu sina ngiri mie
 
hivi huko makete si ndo kuna kipindi kijiji kizima watu wazima wamefariki kwa ukimwi wamebaki watoto nakumbuka Parapanda Arts group waliwaimbia na wimbo inaweza kuwa ni sababu ya hali ya hewa

huko noma yan ukimwi kama mafua tu....
 
jamaa sasa lile winter una adapt au ??
Halafu ukiwepo kule hakumbuki wala kuhisi kuwa kuna baridi ila ukija dar ndo unapata tabu kwa joto.

Kule ni mwendo wa heavy jackets na masweta tu mikononi ni full gloved,miezi kuanzia June hadi August hadi barafu huwa inadondoka kwa wingi ukiamka unakuta nyasi zote nyeupe zimefunikwa na barafu.

Ukianika nguo kwenye majani ukaisahau nje usiku,asubuhi ukiisimamisha inasimama yaani inakuwa km ngozi iliyokauka.
 
imebidi nidiversify business niwe na vijana wanatembeza supu ya pweza

hapo sasa utawaweza wanaume wa dar na walivyo na stress za mapenz na wakiamini mkombozi wa mambo yetu ni pweza na supu yake hapo mahala pake....
 
Back
Top Bottom