Hivi modifications inaruhusiwa gari za serikali

Hivi modifications inaruhusiwa gari za serikali

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,213
Reaction score
14,925
Hivi modifications ina ruhusiwa gari za serikali
 
Attachments

  • IMG-20180804-WA0004.jpg
    IMG-20180804-WA0004.jpg
    77.5 KB · Views: 39
  • IMG-20180804-WA0006.jpg
    IMG-20180804-WA0006.jpg
    97.5 KB · Views: 37
Mkuu ongeza nyama hapo,umeona modification ipi?

Ila kwa kawaida kufanya modification ya gari,kuongeza au kupunguza kifaa chochote bila kupata idhini ya manufacture wa hiyo gari,ni hatari na ni makosa.
 
Mkuu ongeza nyama hapo,umeona modification ipi?

Ila kwa kawaida kufanya modification ya gari,kuongeza au kupunguza kifaa chochote bila kupata idhini ya manufacture wa hiyo gari,ni hatari na ni makosa.
Mi nadhan mtoa mada anawaza kumodify hiyo gar iwe chopa ili wasipate ajali tena
 
inaruhusiwa,mfano mi Noah yangu ikija baada ya kulipwa na wale wezi wetu , nitaweka carrier juu,ngazi ya kupandia nyuma, na ngao mbele na nyuma,
Pia nitaweka rimu nzuri na matairi makubwa zaidi ya Yale
 
Unaposema inaruhusiwa unakua una maanisha inaruhusiwa na nani?

Coz unaponunua gari still mmiliki wa ile gari ni manufacture mwenyewe,mfano ukinunua gari brand ya Toyota basi ni makosa kuongeza au kupunguza kitu chochote bila kupata idhini ya kampuni ya Toyota.
 
Back
Top Bottom