Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nyingine.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimemaliza kusoma kitabu cha kumi mwaka kwa 2018. Hiki ni kitabu cha Benjamin Carson: You have a brain… kitabu hiki kinaelezea jinsi ambavyo Ben na kaka yake walivyolelewa na mama yao, na zaidi ni...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu, nimetoka sehemu pana king'amuzi cha Azam TV na kukuta fainali ya mashindano ya Ndondo. Cha ajabu natafuta Clouds kwenye DSTv naambulia giza tu. Kulikoni?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndani ya wiki moja waandishi wa habari wawili wamepoteza maisha ,tumeona mwandishi wa habari wa wizara ya viwanda na biashara amefariki, na huyu wa leo wa wizara ya maliasili na utarii naye...
14 Reactions
53 Replies
9K Views
Kumekuwa na hurka ya polisi kufukuzia raia wasio vaa helmt hata wakiwa na abilia ,swala hili limekuwa kero kwa wananchi wa namanga na longido kwa ujumla ,kwa mujibo wa vijana bodaboda wakishikwa...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
PHONE ADDICTION SIGNS AND EFFECTS. SIGNS:- 1. A need to use the cell phone more and more often in order to achieve the same desired effect. 2. Persistent failed attempts to use cell phone less...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mr Ebo aliwahi kuimba wimbo Fulani "wazee wasamani natusuga,oooh wazee wasamani nadanganya oooh....''. Wazee wetu ,wazazi na watu wengine waliotuzidi umri kuna vitu walikuwa wanatuambia ili...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hizi ajali zinazoendelea kupanda kasi kila siku kiukwel haya ndo matokea halisi ya ukaguaji vyetii Hi inatokana na malena wengi wasio kua na uzoefu kukabidhiwa magari ya viongozi,, kisa wana...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Tangu mwaka jana mwezi wa 9, nimemaliza michakato ya kulipia Gharama za kuunganishiwa umeme lakini mpaka leo hii trh 25/04 mbona kimya? nyumba yenyewe nimejenga kwa shida mpaka hapa nilipofikia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim amesitisha zoezi la uhakiki wa leseni za madereva lililoanza hivi karibuni hadi itakapotangazwa tena. Aidha, amewataka madereva kwenda...
1 Reactions
19 Replies
12K Views
WAZIRI LUGOLA AONYA VIONGOZI KUWA CHANZO CHA AJALI: Waziri wa mambo ya ndani ya nchi kangi Lugola amewataka viongozi wa ngazi za juu serikalini kutokuwa chanzo cha mwendokasi usio wa kawaida...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Mwana JF wa jinsia ya KE ambaye kaja kwenye Maonesho ya Kilimo hapa kijiji cha Nyakabindi Bariadi mkoani Simiyu naomba ani-PM. Lengo kuu ni kufahamiana na kujenga urafiki wa chanya na hasi.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
mzee mmoja raia wa Burundi aliyefahamika kwa jina la Michael Zacharia Mulongo ama Michel Nzorijana amekamatwa wilayani Bukoba akiwa katika foleni ya kujiandikisha kupata kitambulisho cha taifa...
17 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zilizo tufikia kwenye meza yetu ya Mwanahabari Huru Kutokea Huko Jijini Arusha ni kua kuna Tetemeko la Ardhi limepita jijini huko. Kwa habari zaidi tutawaletea hivi Punde
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada wa mawazo. Kama miaka mitatu hivi iliyopita nilinunua shamba la ekari 20 kwa kiasi cha 60m. Wakati tunauziana niliwahusisha viongozi wa serikaki ya mtaa tukiwa shambani na...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
Rais Nicolas Maduro anusurika kuuwawa Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameapa kuhakikisha kuwa sheria inachukua mkondo wake baada ya jaribio linalodaiwa kufanyika dhidi ya maisha yake ambalo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
KWANZA : Ukijua iko siku utakuwa Mzee. PILI: Ukijua iko siku, Hakika Utakufa. Mungu atusaidie kuzijua na kuzishi vyema siku zetu hapa duniani.
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za mchana wapendwa Leo nataka niwaibie siri vijana Unapopita mtaani unakuta Wameandika kuwa kuna mbwa Wakali ndani usihofu hiyo ni fursa ndani kuna watoto wa kike Wakali Balaa kama unabisha...
5 Reactions
27 Replies
6K Views
Wadau Habari?Nimekuta watumishi best zangu wakilalama juu ya kutopata vyeo vipya makazini,kazi wanapiga fresh,huu mwaka wa 6-7 kazini,na hakuna shida yoyote katika utumishi wao,binafsi nililizika...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU CHANELI ZA BURE (FTA) presstz.net INAFAHAMIKA vizuri kwamba televisheni zote za kianologia zilizimwa tangu Januari 1, 2013 nchini Tanzania. Na kwa miaka...
3 Reactions
22 Replies
17K Views
Back
Top Bottom