Tatizo la Umeme Bagamoyo

Tatizo la Umeme Bagamoyo

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,585
Bagamoyo hakuna Umeme toka jana. Je kwingine umeme upo?
 
Tanzania hayo mbona ni mambo ya kawaida sana mkuu, relax utarudi tu huo umeme.
 
Ndio muone kuwa Rais JPM kabadili nchi hii,
umeme kukosekana tangu jana tu tayari yuko anaeshangaa maana si kawaida ya zama hizi umeme ukatike zaidi ya 30 dakika. Ukizidi muda huu lazima tangazo litolewe.

Zama zile umeme unakatika masika hii kwisha hadi kuanza masika nyengine. Watu kimya wanauza majenerata yao tu.
 
Hapa kwetu kawaida umeme ukikatika hua sijipi moya kua utarudi mapema
Inkes umerudi mapema nipate suprise
Raha jipe mwenyeo
 
Back
Top Bottom