Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Nilikaa na wanawake wa ki-Nigeria tukawa tunapiga stori. Nikiwaambia nyinyi soko la filamu Afrika mmelimudu lakini sinema zenu hazina jipya zaidi ya mapenzi na uchawi. Na inaelekea mnaamini sana uchawi.
Walinijibu kuwa uchawi hasa wa maswala ya mapenzi wao kwao wenye pesa wanaelekezwa Tanzania sehemu za Mtwara, Mozambique na Malawi.
Wameniambia limbwata la sehemu hizo linachukua miaka 800 ku expire. Kwa maana nyingine ni mpaka kifo kiwatenganishe.
Ndugu zangu na sisi tumo kwenye Africa map katika maswala ya limbwata. Msife moyo kuna siku tutakuwa kwenye sector ya science and technology kama watoto wanaopatikana kwenye limbwata watafanya vizuri shuleni.