chanaga
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 344
- 190
Ndugu Fred Isack baada ya kuja kwenye ofisi yetu kunitapeli mida ya SAA moja jioni 2014 huku ukitoka machozi na kutiririka makamasi ukiomba msaada wa pesa ya nauli ya kwenda Dar es salaam kwa madai kwamba umeibiwa pesa yote kwenye basi,ukiomba nikukopeshe 50,000/ uniachie vyeti vya shule ndipo kwa huruma yangu nikakubali kukupa 20,000/ na kuniachia vyeti vyako kwa ahadi ya kuja kunipa pesa yangu asubui,lkn mpaka leo sijakutia machoni naomba nikupe taarifa vyeti vyako navichoma moto bila kujua kama uliviiba au no vyeti vyako. Naambatanisha mkataba wako na living certificate cheti cha CSEE sitakiweka kwa sababu ya kiusalama.