Tilalilala
Member
- Nov 30, 2014
- 78
- 66
Nishajaribu kila aina ya doderant,mafuta na sabuni lakin wapi. Hili jasho linanikera japo halitoi harufu lakni linachora ramani fulani hivi ya bara la afrika tafadhali mtu ambaye ashawahi kukumbwa na tatizo hili na akaweza kulitatua anisaidie ufumbuzi