BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Wakuu,
Nina ndugu yangu amefunga camera sebuleni kwake pamoja na dining. Nilishawahi kubishana nae sana kuhusu swala hilo, nilimwambia ya kwamba anakosesha watu amani wakiwa maeneo hayo. Hawawezi kuwa huru, watakuwa wanaigiza tu kwa kuwa wanajua kuna uwezekano wa kuonwa ikiwa muhusika akiamua kuangalia yaliyojiri siku husika nyumbani kwake.
Kama lengo ni kuweka usalama mi nadhani camera za nje zinatosha sana kuliko kuweka camera mpaka ndani ya nyumba kama mpo bank.
Je, wewe unadhani ni sahihi kufunga camera sebuleni na sitting room?