Kuzimwa kwa local channels , Makampuni yenye mikataba ya Matangazo kutaneni haraka.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,530
217,794
Nafahamu gharama kubwa mlizoingia kwenye kulipia matangazo yenu kwenye TV zilizoondolewa hewani , hakuna haja ya kunyamaza kimya , hakikisheni haki yenu inapatikana.

Natambua jinsi mlivyosaidia nchi yetu kwa uaminifu wenu wa kulipa kodi bila kupunja hata senti , bila shaka kuzimwa kwa Channels hizi kumewapunguzia wateja na mapato yenu pamoja na kuyumbisha wateja wenu , Hakikisheni mnapata haki yenu , binafsi nautambua mchango wenu kwa Taifa .
 
Yaani kitu tunachostaili kupata bure....wao wanatuuzia bado mnawatetea waendelee kutuuzia?... Hapana......
 
Back
Top Bottom