Kuna ukweli wowote kuhusu ndoto?

Kuna ukweli wowote kuhusu ndoto?

HARUFU

Platinum Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
31,702
Reaction score
48,146
Nimekuwa nikisikia kuwa ndoto huwa haimaliziki na endapo utakapomaliza ndoto basi itakuja ndoto nyingine ambayo itakatika labda kwa kuamshwa au sababu nyingine ambayo itakufanya uamke.

Hapa nina uhakika nitapata jibu muafaka.

Haya tiririkeni kwa faida yangu na wengineo
 
ndoto haijawi na haiwezi kuisha hata siku moja hata zile ndoto nyevu huisha ukipiga goli ndio unashtuka kwamba upo peke yako
 
ila ndoto hii ni ya ukweli kabisa maana ushahidi unaonekana!
 
Nimekuwa nikisikia kuwa ndoto huwa haimaliziki na endapo utakapomaliza ndoto basi itakuja ndoto nyingine ambayo itakatika labda kwa kuamshwa au sababu nyingine ambayo itakufanya uamke.

Hapa nina uhakika nitapata jibu muafaka.

Haya tiririkeni kwa faida yangu na wengineo

cc Rakims tupia neno hapa kwa faida ya mleta uzi na wengine!
 
Last edited by a moderator:
Ndoto ni kama maisha, Ujue maisha hayamaliziki, siku yakimalizika basi jua ndo umekufa hivyo, kwa hyo hata ndoto itakapoisha yawezekana ukaacha msiba.
 
Ninavojua ndoto hatakama wewe uione ni ndefu kiasi gani huwa ina range ya sekunde kadhaa(10-15) tu ikifikisha dakika moja unakufa.
 
mh mi kuna ndoto nilianza kuota jana badae yakaja maneno "WATCH OUT PART 2"
Nipo hapa nasubiri usiku wa leo kama itaendelea...
 
Ninavojua ndoto hatakama wewe uione ni ndefu kiasi gani huwa ina range ya sekunde kadhaa(10-15) tu ikifikisha dakika moja unakufa.

Umejuaje ndoto inarange 10-15? Mbona mi huwa nikiota nikigutuka usingizini nahisi ni kama si chini ya dk 3
 
Ndoto ni kama maisha, Ujue maisha hayamaliziki, siku yakimalizika basi jua ndo umekufa hivyo, kwa hyo hata ndoto itakapoisha yawezekana ukaacha msiba.[/QUOTE

Na Vipi Wqle Wanaolala Na Kuamka Bila Kupata Hata Chembe Ya Ndoto They Survived point yako dhaifu...

#rakims
 
Nimekuwa nikisikia kuwa ndoto huwa haimaliziki na endapo utakapomaliza ndoto basi itakuja ndoto nyingine ambayo itakatika labda kwa kuamshwa au sababu nyingine ambayo itakufanya uamke.

Hapa nina uhakika nitapata jibu muafaka.

Haya tiririkeni kwa faida yangu na wengineo

Mkuu Sisi Wa Meditation Tunatambua Kwamba Hapo Naota Na Tunalala Tena Ndotoni Ukiamka Kumeisha kucha... Na unajiskia una nguvu vile ulipumzisha na ubongo... Vipi apo ukijua ukaistop hujaimaliza??

#Rakims
 
Umejuaje ndoto inarange 10-15? Mbona mi huwa nikiota nikigutuka usingizini nahisi ni kama si chini ya dk 3
Kama huamini chukua stopwatch utagundua ninayo yasema ukipima muda uliotumia kota ndoto yako.
 
mzee mbona unatutisha namna hiyo!!!!!
Mkuu siwatishi ila hakuna kazi ngumu ambayo inahusisha ubongo na kwa muda mfupi ku analyses taarifa(story) kamili kama ndoto hata mapigo ya moyo huwa yanabadilika.
 
Nimekuwa nikisikia kuwa ndoto huwa haimaliziki na endapo utakapomaliza ndoto basi itakuja ndoto nyingine ambayo itakatika labda kwa kuamshwa au sababu nyingine ambayo itakufanya uamke.

Hapa nina uhakika nitapata jibu muafaka.

Haya tiririkeni kwa faida yangu na wengineo
Ninavyofahamu mimi mtu akiota ndoto hawezi kuimaliza lazima ikatike na kama akiimaliza basi ndiomwisho wa maisha yake. Anafia usingizini
 
Back
Top Bottom