Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, ameviagiza Kampuni za DSTV, Azam na Zuku kurejesha fedha za wateja walizokuwa wamelipia ving'amuzi kwani kampuni hizo zimekiuka sheria.
Waziri Kamwelwe amesema kuwa, Serikali itatoa muda wa mwisho ambao fedha hizo zinatakiwa ziwe zimesharejeshwa.
Wajuvi hebu tuelimishane: Hapa Kamwelwe anamaanisha yale malipo ya kila Mwezi ama Ving'amuzi vyenyewe?