Kuondolewa Channel Kumenifurahisha Sana

Kuondolewa Channel Kumenifurahisha Sana

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Mabadiliko ya hivi sasa kuondoa TV channels baadhi au zote kwenye visimbusi vya DStv na Zuku kumenifurahisha saaana.

Binafsi, nilikuwa nakerwa na taarifa za habari na matukio ya tv hizo hususani, zinapo toa taarifa za jiwe na taasisi zake. Hapo awali niliacha kutazama tv ya taifa na media zote za serikali kwa sababu hiyo.

Nilipoona hata tv stations nyingine nazo ziko kwenye mkondo wa misifa kwa mwamba na ngome sikutamani tena kutazama.

Kwa sasa, imebaki hii tv wanayosema ni ya taifa (taifa kwao inamaanisha chama chao). Hii tv kwangu nime"block" haifunguki hadi kwa password nimeipotezea.

Kwa hiyo, nimefurahi kuona kisimbusi chake kimeziondoa, afadhali, nilikuwa nimechoka.
 
Ms
Mabadiliko ya hivi sasa kuondoa TV channels baadhi au zote kwenye visimbusi vya DStv na Zuku kumenifurahisha saaana. Binafsi, nilikuwa nakerwa na taarifa za habari na matukio ya tv hizo hususani, zinapo toa taarifa za jiwe na taasisi zake. Hapo awali niliacha kutazama tv ya taifa na media zote za serikali kwa sababu hiyo. Nilipoona hata tv stations nyingine nazo ziko kwenye mkondo wa misifa kwa mwamba na ngome sikutamani tena kutazama.

Msaada please npo na dstv nataka kuondoa tbc maana ndo imebaki na ndo channel ya mwisho kuipenda kuliko zote, nataka kublock hiyo tbccm
 
Mabadiliko ya hivi sasa kuondoa TV channels baadhi au zote kwenye visimbusi vya DStv na Zuku kumenifurahisha saaana. Binafsi, nilikuwa nakerwa na taarifa za habari na matukio ya tv hizo hususani, zinapo toa taarifa za jiwe na taasisi zake. Hapo awali niliacha kutazama tv ya taifa na media zote za serikali kwa sababu hiyo. Nilipoona hata tv stations nyingine nazo ziko kwenye mkondo wa misifa kwa mwamba na ngome sikutamani tena kutazama.

Kwa sasa, imebaki hii tv wanayosema ni ya taifa (taifa kwao inamaanisha chama chao). Hii tv kwangu nime"block" haifunguki hadi kwa password nimeipotezea.

Kwa hiyo, nimefurahi kuona kisimbusi chake kimeziondoa, afadhali, nilikuwa nimechoka.
Hivi TBC umeiblock vipi mkuu, na mm ni iblock kwa DSTV??
 
Hahahaaaa kitaeleweka tu
 
Kwani Hii TBC haifai kuifuta kabisa kwenye king'amuzi? Mi siitazamagi lakini nikiiona kwenye list tu naskia kichefchef....

Tuambieni jinsi ya kui delete
 
Kila mtu hapa atakuja kumuunga mkono mleta mada. Ikija thread ya kulalamika kila mtu atalalamika kwa nini chaneli za ndani zimefungwa, this is Tanzania bwana!!
Mnaofanana ndo wenye tabia hiyo, Mimi nililie TBC? Over my dead body!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona kila mtu anakataka kuiblock wengine kuidelete basi burudani tupu me sijui lini mara ya mwisho kuangalia Tbc[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom