Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,449
- 2,924
Leo asubuhi nimeweka vocha ya sh 1000 ya ttcl, then nikajiunga vifurushi viwili vya sh 500 kila kimoja vya data MB 600, kwahiyo jumla ilitakiwa nipate GB1.2.
Mimi huwa nina tabia ya kuangalia salio la kawaida kabla sijawasha data kama wameshachukua pesa ili nisije nikaingia mkenge kwa kuwasha data pesa ikaliwa.
Sasa bana, wakati ninafanya matumizi ya bundle langu nikatumiwa ujumbe kuwa zimebakia MB50 na kucheki ika wa kweli. Hapo matumizi yangu hayakuwa yamefika hata GB1 na baada ya dakika chache nikatumiwa ujumbe mwingine kuwa data zimekwisha.
Ikanibidi niwapigie huduma kwa wateja kuulizia kulikoni nikaambiwa kuwa
1.Ukishajiunga na bundle moja lazima usubiri liishe ndipo ujiunge tena KWASABABU ZA KIUSALAMA
2.Pesa yako haitaweza kurudishwa, na wala hutapata kifirushi kingine.
3.Kwahiyo hatuna namna ya kukusaidia.
Hela yangu inaniuma mpaka sasa!
Ujumbe huu naomba umfikie
Jiwe
TCRA
TTCL
@Na wanaJF wote wataousoma.