aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,674 Reaction score 3,743 Aug 14, 2018 #1 Nauliza tu ni kwanini? Wahusika hawajaliona? Nahisi kwansiku serikali inapoteza zaidi ya bilion 1 kwenye tikets za mabasi kutokuwa za electronic
Nauliza tu ni kwanini? Wahusika hawajaliona? Nahisi kwansiku serikali inapoteza zaidi ya bilion 1 kwenye tikets za mabasi kutokuwa za electronic
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,017 Reaction score 9,568 Aug 14, 2018 #2 kwani hayo MABUSI na yenyewe ni electronic? tuanzie hapo
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,292 Reaction score 6,773 Aug 14, 2018 #3 Hata zikikusanywa hizo pesa zitatumika tu kuwanunua kina Waitara.
A Adili JF-Expert Member Joined Nov 3, 2007 Posts 3,138 Reaction score 1,122 Aug 14, 2018 #4 aka2030 said: Nauliza tu ni kwanini? Wahusika hawajaliona? Nahisi kwansiku serikali inapoteza zaidi ya bilion 1 kwenye tikets za mabusi kutokuwa za electronics Click to expand... 1) Mabasi mabusi 2) Tiketi za electronic tiketi za electronics
aka2030 said: Nauliza tu ni kwanini? Wahusika hawajaliona? Nahisi kwansiku serikali inapoteza zaidi ya bilion 1 kwenye tikets za mabusi kutokuwa za electronics Click to expand... 1) Mabasi mabusi 2) Tiketi za electronic tiketi za electronics