Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nianze kwa kutoa Pole kufuatia kodi cha Monica magufuli. Hapa Mza hali imekuwa tete kufuatia usafi kubwa ya viongozi walipkwenda chat Ni zaidi ya saa Moja na robo tesimamishwa kupisha msafara wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wauguzi 16 wana ujauzito kwa wakati mmoja katika hospitali ya Mesa,Arizona. Asilimia 10 ya wahudumu wa chumba cha uangalizi maalum wameanza kugundua ongezeko la wingi wa wauguzi kuwa wajawazito...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Natarajia kuja Arusha kesho. Nitakua siku 3. Nahitaji wenyeji wa huko mnisaidie pa kufikia. Namaanisha Lodge au Hotel ambayo iko Standard. Bajeti yangu ni 25,000 mpaka 30,000 kwa siku. Isiwe...
0 Reactions
65 Replies
12K Views
Nianze kwa kusema pesa ni sabuni ya roho. Usipokuwa na pesa hata roho yako inakuwa chafu. Pia pesa ni jawabu la mambo mengi sana. Kamwe usidharau pesa wala kuibeza. Uzi huu inajikita sana kwenye...
1 Reactions
1 Replies
735 Views
Katika historia yetu wazungu pamoja na waarabu katika vipindi tofauti walipokuja Africa waliwachukua watu kutoka Africa na kuwapeleka katika nchi zao kwa ajili ya kufanyishwa kazi na mambo mengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenye Mwanzo 22:1-18, je inawezekana kuwa mvulana ambaye Abraham alikaribia kumtoa kafara awe ni Ishmael, siyo Isaka, kama inadaiwa? Vinginevyo, inawezekanaje Isaka awe "mtoto pekee wa kiume"...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Tangazo lililopita la ajira mpya za waalimu tuliambiwa waalimu wanaotakiwa kuomba ni wa masomo ya hesabu, physics na English literature. Kwa hiyo waalimu wengine wa sayansi kama chemistry na...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika historia yetu wazungu pamoja na waarabu katika vipindi tofauti walipokuja Africa waliwachukua watu kutoka Africa na kuwapeleka katika nchi zao kwa ajili ya kufanyishwa kazi na mambo mengine...
0 Reactions
3 Replies
2K Views

617 Views
katika sikukuu ya Eid ul-Adha ,familia nyingi hutoa mbuzi au kondoo kwa ajili ya marafiki na wahitaji Waumini wa dini ya Kiislamu duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Eid ul-Fitr. Hii ni moja...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nilijionea Jana tukio LA Uganda Polisi walivyo tawanywa wakati wanamshambulia mwendesha Pikipiki bila sababu. Kumbe nguvu ya umma dhidi ya uonevu yaweza kufuta Tania hiyo. Hivi ndivyo inavyotakiwa...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Kilimanjaro linawashikilia raia 25 wa Ethiopia miongoni mwao tisa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18 wakiwa katika kichaka eneo la Himo wakisubiri gari kwa ajili ya kuwavusha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hebu kama hujawahi kuupanda na huna tatizo lolote lile kiafya...Do it!! Kila mtanzania na Mwana Afrika Mashariki yeyote yule anastahili kufurahia.... Wadau!! Kutokana na Maoni na...
35 Reactions
330 Replies
33K Views
Dar es Salaam. Serikali imetoa tahadhari kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini baada ya watu 91 kuugua DRC Congo na wengine 50 kufariki dunia. Idadi hiyo imeongezeka kutoka wagonjwa 26 katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwenye Mwanzo 22:1-18, je inawezekana kuwa mvulana ambaye Abraham alikaribia kumtoa kafara awe ni Ishmael, siyo Isaka, kama inadaiwa? Vinginevyo, inawezekanaje Isaka awe "mtoto pekee wa kiume"...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sina nia ya kuleta ukabila au kuchukia kabila la mtu fulani. Lakini napenda tupate ufafanuzi wa Tangazo hili japo linaonekana ni la muda kidogo ila ni vizuri tukapata kujua nini kilitokea na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwenye Mwanzo 22:1-18, je inawezekana kuwa mvulana ambaye Abraham alikaribia kumtoa kafara awe ni Ishmael, siyo Isaka, kama inadaiwa? Vinginevyo, inawezekanaje Isaka awe "mtoto pekee wa kiume"...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Hivi ukitaka kupata uhakika usio na shaka kwamba mbegu aliyobeba mwanamke mjauzito ni yako unafanyaje? Kusubiri mpaka mtoto amezaliwa kufanya DNA inaweza kuwa umechelewa sana kwa sababu kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imesema kuanzia Januari mwakani itaanza kudai fedha za mikopo kwa kupita nyumba kwa nyumba, hasa muda wa usiku. Mbali na hilo, HESLB wamesema...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom