Habari wanajamvi,kuna msanii nilianza kumsaidia kusimamia kazi zake kirafiki zaidi,ila sasa matunda yanaanza kuonekana. Wakati huo tulikua hatujaingia mkataba wowote,sasa tunataka kuingia mkataba...
Huu wizi wa startimes kwa watanzania utaisha lini?
Siku za karibuni walikuja na option ya kubadili kifurushi kwa simu na pia wakaweka vifurushi ya siku week na mwezi
Sasa mimi juzi niliunga cha...
Nipo jamaa mmoja hapa ananipa story za Norway ameniambia ukiwa mfungwa tu wa gerezani hautamani tamani kurudi bongo ukweli sijaamini hata kidogo mwenye kujua kuhusu hii kitu please.
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea ivi inakuwaje unamkuta mzee anafanya kazi nzuli ana uwezo mkubwa wa kifedha lakini unakuta familia yake hapo nyumbani wanaishi maisha ya shida.
Nazagumza...
Leo August 22, 2018 ikiwa nisiku ya Eid Al-Hajj dereva wa Gari aina ya ALPHARD yenye namba za usajili Z 682 HP amenusurika kufa baada ya kupata ajali katika maeneo ya dimani njia ya kuelekea FUMBA.
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania inawawezesha wateja wake kufanya usajili wa nambari zao za simu kwa njia ya kielektronikia kupitia simu za mkononi, mfumo ambao unatoa urahisi kwa kila...
Kisheria imekaaje hii wakuu, maana naona bado yapo tu au ni mpaka mkataba walokubaliana kuisha ?
Hata kama muhusika amefariki?
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
Siandikii siasa nmeskitika kuwa leo hii kwenye uongozi wa awamu ya tano mdo mladi mkubwa wa maji unaonesha neema kwa wakazi wa magu kupata maji!
Wenyeji wa hapa wanasema uliwah kuja mladi wa...
Nimeandika uzi huu,nitafurah sanaaa kama uzi wangu mmoja niliutoa ulikuwa na kichwa cha habar Mh wateule wako unawafanyia Vetting ya kutosha? Na katika uzi ule nilikuwa nalenga kumjulisha Mh kuwa...
Habar hii pengine inaweza hisieleweke kwa wepesi ila kweli.
Baada ya walimu kupata tetesi kuwa kuna mswada unaandaliwa wa kuundiwa bodi ya taaluma yao ambayo itakuwa inatoa LESENI kwa walimu wote...
Habar wadau!leo naisi kuna tatzo kweny server ya jf ukipost kitu unaambiwa ucheck na admn unafuta unakop na kupest ili utume tena ukija kushutuka unakuta umetuma thread mara kadhaa wakti ulikuwa...
MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Muungano iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Richard Ndoile (30), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, kwa tuhuma za kukutwa gesti na...
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza kipindi cha KUPAKA RANGI cha Magic FM, ambapo watangazaji walikuwa wakijadili suala la figisu iliyotokea katika uchaguzi mdogo Jimbo la Korogwe, ambapo tunaambiwa...
Ndani ya mwaka Waislam wanaongoza kwa kuwa na sikukuu nyingi sana kuliko Wakristo!
Wakristo wana sikukuu / sherehe zisizozidi 4 kwa mwaka mzima, ila wenzetu waislam wanazo nyingi sana.
Usawa...
Baadhi Watanzania wapo kama baadhi ya wanawake wanandoa ambao watapigwa, watanyanyashwa, wataumizwa, NAMBA WATAISOMA, na kila aina ya uovu watafanyiwa na waume zao, lakini ukiwaambia wadai talaka...
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA ipo kwenye mchakato wa kusitisha huduma za Chaneli za TV bure.
Hii ni kusaidia kupunguza mzigo wa gharama kwa serikali.
Hayo yamesemwa na meneja wa TCRA Bw...
Kisheria imekaaje hii wakuu, maana naona bado yapo tu au ni mpaka mkataba walokubaliana kuisha ?
Hata kama muhusika amefariki?
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
Kampuni inayoendesha Mradi wa Usafiri wa Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imefungua kesi mahakamani dhidi ya serikali, kupinga kitendo cha serikali kutaka kuleta mwekezaji mpya.
Hatua ya serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.