Naomba ufafanuzi wa tangazo hili

Naomba ufafanuzi wa tangazo hili

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,534
Sina nia ya kuleta ukabila au kuchukia kabila la mtu fulani.
Lakini napenda tupate ufafanuzi wa Tangazo hili japo linaonekana ni la muda kidogo ila ni vizuri tukapata kujua nini kilitokea na solution ilikuwa ni ipi
FB_IMG_15348641421149272.jpg
 
Kwa kosa la kumvunja na kumharibu mungu wa jamii hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba ufafanuzi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haahahaa" Mungu kavunjika tena". My foot
 
Hapo naona matangazo mawili tofauti yameingiliana kwenye tangazo moja...

Moja ni la mtoto Upendo Kutoweka kwao tangu 2011....na lingine la Uhalifu au Ukatili wa Kipigo kilichopelekea kuvunjwa Mguu(sio Mungu) kwa mtendwa..
 
Back
Top Bottom