Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwakweli serikali ingeangalia suala ili kwa jicho la tatu, Sasa hivi kupata passport nyingine mpaka uwe na kitambulisho cha uraia, wakati kitambulisho chenyewe kukipata ni miez, sasa vipi mtu...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
  • Closed
Gazeti la Mwananchi la leo. Sasa sijui kama amemvunja 'Mungu' polisi binadamu watamkamataje. Nadhani mashitaka kama haya ndio tutegemee kwenye sheria hizi mpya mpya. hahaha, ..."umemfotoshopu...
3 Reactions
212 Replies
39K Views
Ilikuwa kama saa mbili na nusu hivi asubuhi ya leo, ambapo maeneo ya Kamata au tuseme Gold Star ulipita msafara wa mahabusu (kwa kuangalia gari la magereza) barabara ya Nyerere kuelekea City...
2 Reactions
30 Replies
7K Views
Imejipost mara mbili, thread hii Imefutwa (Deleted)
0 Reactions
3 Replies
724 Views
. Hii Habari imetokea Uganda,ukimsikiliza vizuri huyu mzungu ambae anatokea Marekani anasisitiza kusema kuwa "humjali Yesu,unamdhalilisha Yesu" nk,Yesu alikuwa ni Myahudi,kazaliwa Mashariki ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
miaka karibu 10 mpo pamoja, mnawatoto,mnavaa na kuvua pamoja,mahitaji anapata n.k lakini siku mara unasikia kifidodido kinanyanyua pua "Hujawahi nifanyia kitu chochotee cha maana tangu niwe na...
1 Reactions
1 Replies
844 Views
miaka karibu 10 mpo pamoja, mnawatoto,mnavaa na kuvua pamoja,mahitaji anapata n.k lakini siku mara unasikia kifidodido kinanyanyua pua "Hujawahi nifanyia kitu chochotee cha maana tangu niwe na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
miaka karibu 10 mpo pamoja, mnawatoto,mnavaa na kuvua pamoja,mahitaji anapata n.k lakini siku mara unasikia kifidodido kinanyanyua pua "Hujawahi nifanyia kitu chochotee cha maana tangu niwe na...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Habarini wadau. Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana. Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine. Yaani hawa watu...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ilikuwa tarehe moja mwezi wa 6 ambapo nilipokea simu muda wa saa 1 jioni nikitaarifiwa kuwa mke wangu amedondoshewa kipigo na kijana wa jirani na mama yake mpaka kupoteza fahamu. Ndipo nilimpigia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeomba UK visit visa miezi 6 nimekosa kwasababu mbali mbali moja wapo ni kuwa hawana uhakika kama nitarudi tena bongo pia hakuna genuine relationship Kati ya mimi na sponsor, nataka kuomba tena...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Habarini wana jukwaa hapa leo nina swali huenda kwa wengine ikawa ni kichekesho ila kwangu itakuwa nimeelewa kitu.kwa mliowahi fika nje ya nchi kwa mfano Europe,Asia au USA. Hivi mkiwa katika...
2 Reactions
98 Replies
10K Views
wanajukwaa, nipo hapa kueleza shida yangu inayonikabili na wala stanii , kama utaamua kubeza ni sawa tu lakini maisha yataenda, kifupi nimekumbwa sijui na nini lakini nimekuwa na tabia ya kupenda...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Natarajia kusafiri siku za hivi karibuni kwenda Kigali Rwanda kwa njia ya barabara. Arusha hadi Bukoba, Bukoba hadi Kigali. Naomba kujua gharama za malazi huko Kigali. Ahsanteni.
1 Reactions
25 Replies
12K Views
Kuna namba ziko Brela kama technical support kwa ambaye umekwama sehemu unaposajili kampuni imekuwa kero hazipokelewi, nimejaribu kupiga zaidi ya mara 40 toka jumatatu hakuna anayepokea namba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moshi raha sana. Moshi bata sana. Pesa haiachwi mjini Moshi. Kila huduma lazima negotiation iwepo. Iwe guest house, iwe bidhaa, iwe wadada poa, iwe chakula, iwe pombe nk...chochote ulichonacho...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Dunia mzima idd ni leo, nchi pekee inayosherekea did ni Tanzania, tatizo lii wapi?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
MAMBO YA KUZINGATIA KWA KIJANA AMBAYE HUJAOA... Wanasema ujana Ni maji ya Moto, wengine wanasema chezea ujana fainali uzeeni lakini vitabu vitakatifu vinasema "mkumbuke Mumbai wako siku za ujana...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kuna mjadala mgumu sana kuhusu uhalali wa kutoa mimba au Kuto itoa. Hoja za wengi wanaosema isitolewe ni za kidini wengi husema kuua ni dhambi. Sawa lakini swali la msingi ni hili hapa. Uzinzi ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu mmeamkaje? Nimefika Arusha salama, japo kuna baridi kiasi, ila hali ya hewa ni nzuri kwakweli. Mji umetulia, hamna fujo kama za Dar (mahoni kila sehemu, jam, mara ujenzi wa SGR, etc)...
16 Reactions
160 Replies
17K Views
Back
Top Bottom