Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari mlipuko wa Ebola

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
Dar es Salaam. Serikali imetoa tahadhari kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini baada ya watu 91 kuugua DRC Congo na wengine 50 kufariki dunia.

Idadi hiyo imeongezeka kutoka wagonjwa 26 katika mlipuko uliotokea Julai mwaka huu.

Akizungumza na vyombo vya habari leo Agosti 21 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema nchi ipo hatarini kupata ugonjwa huu kwa sababu ya ujirani kati ya Congo na Tanzania lakini mpaka sasa bado haujaingia nchini Tanzania.

Ameitaja mikoa ambayo ipo hatarini kuwa ni pamoja na Mwanza, Kagera, Katavi, Rukwa na Songwe ambayo ipo mipakani.

Huo ni mlipuko wa 10 kutokea nchini DRC Congo huku wastani wa wanaoambukizwa na wanaofariki ukitajwa kuwa ni wa kiwango cha asilimia 50.

Chanzo: Mwananchii

Sent Using Yono Vibe
 
Siajabu wakaturushia Tanzania,Wamarekani ovyo sana.This is an American CIA laboratory biologically engineered super gem or bio-weapon created to depopulate Africas.Mungu atusaidie sana.
Google sehemu zifuatazo ili ujiridhishe kwamba nilichoandika sio conspiracy. Wanasayansi wote wanakubaliana kwamba tabia za Ebola virus zinaonyesha wazi kwamba sio virus wa asili,ila ni "genetically engineered."
1.Secret Project created weaponized Ebola in South Africa in the 1980s.
2.Project Coast:Who is behind the recent Ebola outbreak?
3.Nigeria:Patrick Sawyer,Ebola and the 'Illuminati' Connection.
4.How a Liberian-American Patric Sawyer deliberately infecteded our staff with Ebola-First Consultant hospital.
5.University Professor says Ebola is a "genetically modified,lab-made" virus.
 
Kuna padri mmoja yule aliupata akiwa katika kuwapa wagonjwa mpako wa wagonjwa,hivi alifariki au alipona?
 
prove kama ni fact
Soma tena comment yangu mkuu,nimeelekeza sehemu za kusoma.Sehemu ziko nyingi ila nimekupatia chache tu,maana Watanzania ni wavivu sana kusoma.Hii sio siri mbona,ni jambo la wazi.Hata President Jonathan wa Nigeria na Sirleaf wa Liberia walikemea upuuzi uliofanywa na Patrick Sawyer,an American-Liberian lawyer,ambaye ndiye inasemekana alitumiwa kusambaza Ebola Liberia,Nigeria na of course hatimaye Siera Leone nk.
 
Back
Top Bottom