Hii Ndio Dawa ya Waonevu Wa Haki za Binadamu, Itumike

Hali kama hiyo inaenda kutokea TZ mda si mrefu, JIWE aendelee tu kutujaza hasira atakipata anachokitafuta.
Hata sikumoja hiyo haiwezi tokea, katika nchi yenye watu wasiojielewa kama Tanganyika hiyo haiwezi tokea.
 
Hata hawa walichoka kulialia kama tuliavyo sisi. Ni wakati wao wakuji tathimini jee wanaona ni fahari kuendesha uonevu dhidi ya watu wanao wapenda na kuwaheshimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali kama hiyo inaenda kutokea TZ mda si mrefu, JIWE aendelee tu kutujaza hasira atakipata anachokitafuta.
Kweli, hata Mange anawajua kwa u-keyboard warrior wenu. Mikwara mingi huku mmejibanza vyumba vya uani kwa shemeji zenu.
 
Nilijionea Jana tukio LA Uganda Polisi walivyo tawanywa wakati wanamshambulia mwendesha Pikipiki bila sababu. Kumbe nguvu ya umma dhidi ya uonevu yaweza kufuta Tania hiyo.
Hivi ndivyo inavyotakiwa badala ya kulalamika


Sent using Jamii Forums mobile app

sidhani kama hii picha ni waganda hao km unavyotaka tuamini,,hiyo video yako huoni kuwa hao ni wahindi mkuu?
 
Nguvu ya umma ya Watanzania ipo nyuma ya "keyboard " tu....refers kilichomkuta Da mange
 
Back
Top Bottom